Mi Eduche wa kufa mtu kabisaWa eduche au wa baso
Mama white hayupo sasa hivi mkuu. Ni kama mwaka na nusu now ila kuna sehemu nyingine nyingi tu unaweza pata huduma kwa bei rahisi.Ukifika malimbe jitahidi sana kumfahamu MAMA WHITE pale nyamalango....!! Utapata chakula cha bei NAFUU mno...!!
[HASHTAG]#naipenda[/HASHTAG] mwanza
Mkuu ada imepanda ni 1540000Mazingira yako poa, gharama za msos na fuu ada inatofautiana kulingana na kozi lakin sio zaid ya 1.4m ila kama education 1.26m
Starehe na madem hayo ni mambo ya kawaida katika vyuo utafanya kadri upendavyo pia chuo hua kina leta wasanii mbalimbali ili kutoa burudan
Kuna Baadhi ya shoo kama Galanight ,Bonifire na zingine izo lazima ufurahie.
Wakufunzi wapo wa kutosha wengi masters ,kiasi dokta na maprofesa wapo.
Pia swala la msuli pale ni kawaida kushida chuo adi usku ni kawaida.
Hahaha ashasepa kitambo mkuu baada ya vyuma kukazaUkifika malimbe jitahidi sana kumfahamu MAMA WHITE pale nyamalango....!! Utapata chakula cha bei NAFUU mno...!!
[HASHTAG]#naipenda[/HASHTAG] mwanza
Hata mdogo wng amechaaguliwa hiyoo course vp mda na comp chargeNgoja wake
Mimi nimechaguliwa public relations n marketing
MainEngineering wanasoma main campus au malimbe??
Njoo pmNimechaguliwa b of arts in economics saut siifaam nilitaka education Kuna anaefaham hiyo faculty
Muda wa kuripoti au?Hata mdogo wng amechaaguliwa hiyoo course vp mda na comp charge
Vipoje
Mduma yupo mkuuNimecheka sana, sijui kama Muduma bado yupo pale? Maana nakumbuka alimzingua dogo mmoja alikosea chumba cha mtihani akawa anayosha mkono ili atoke nje mduma anakataa, dogo ikabidi aanze kulia
Hili darasa nalichukiaga sana sijui kwanini,mm ndo naingia mwaka wa pili(LLB) Karibuni sana SAUT