Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Ukifika malimbe jitahidi sana kumfahamu MAMA WHITE pale nyamalango....!! Utapata chakula cha bei NAFUU mno...!!
[HASHTAG]#naipenda[/HASHTAG] mwanza
Mama white hayupo sasa hivi mkuu. Ni kama mwaka na nusu now ila kuna sehemu nyingine nyingi tu unaweza pata huduma kwa bei rahisi.
 
I studied at Dit for diploma and now I want to experience the real sense of being at university starting from education, business, social interactions,the hustle(brokenness),,mind you am a lifest(mtu wa kujiachia)
 
Mazingira yako poa, gharama za msos na fuu ada inatofautiana kulingana na kozi lakin sio zaid ya 1.4m ila kama education 1.26m

Starehe na madem hayo ni mambo ya kawaida katika vyuo utafanya kadri upendavyo pia chuo hua kina leta wasanii mbalimbali ili kutoa burudan

Kuna Baadhi ya shoo kama Galanight ,Bonifire na zingine izo lazima ufurahie.

Wakufunzi wapo wa kutosha wengi masters ,kiasi dokta na maprofesa wapo.

Pia swala la msuli pale ni kawaida kushida chuo adi usku ni kawaida.
Mkuu ada imepanda ni 1540000
 
Mama white hayupo sasa hivi mkuu. Ni kama mwaka na nusu now ila kuna sehemu nyingine nyingi tu unaweza pata huduma kwa bei rahisi.
Mpo vzr kwa kutafuta fursa nzuri wakuu
 
I studied at Dit for diploma and now I want to experience the real sense of being at university starting from education, business, social interactions,the hustle(brokenness),,mind you am a lifest(mtu wa kujiachia)
Umesomekaa mkuu
 
Back
Top Bottom