Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Wapi nimeandika wamekosa? Nimeandika wamepata wanafunzi wachache tofauti na miaka ya uko nyuma.
652f138659dfe019e1599d950fad5e3e.jpg

Mkuu mbona unajikana?
 
khabar wana Jf, naweza kubadil coz kutoka ict kwenda diploma ya education hapo SAUT
 
Kwa wwnzetu wasabato kwa jumamosi huwa hawasumbuliw kuingia kweny vpnd?
OK huo utaratibu ulizua mgogoro sana hapo Saut kwa maana wasabato waliomba kupatiwa muda wa kuingia ibadani kila jumamosi, na kila jumamosi unakuta tunavipindi lakini VC aliwakatalia kabisa lakini pia Saut UE huwa inafanyika hadi jumamosi aliwakatalia swala la kupatiwa muda wa jumamosi kusali na akawaita M13 na kuwapa maelekezo asiyetaka kufanya mitihani jumamosi atafute ustaarabu mwingine wa chuo, walikuwa ktk changamoto kubwa sana ila iliwalazimu wafanye mitihani tuu.
 
Back
Top Bottom