Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

KKKT ITASIMAMA DAIMA KKKT NI ZAIDI YA MTU wanaotumia Hilo scandal kulichafua kanisa washindwe Na walegee. May God bless KKKT with her all firms . Amen

Kama ni ya kweli, kanisa linachafuliwa na mtenda maovu au wanaomulika maovu?

Why are we this pathetic? Wewe acha uhuni, sikia, tena kwa masikio mbili: ukijamba mbele za watu ukaitwa mpumbavu, aliyetukana siye aliyekuita mpumbavu bali wewe uliyefanya upumbavu.

Mimi sijui kama kuna ukweli juu ya haya mahabari, lkn km ni kweli basi mgomvi wenu ni askofu wenu sio mwenye mke. Tuma kichwa kufikiri
 
 
Huyo jamaa ni mentally unstable sio wa kuaminika, abuser na huyo mama anayesemekana kuchukua ho watoto ni mkuu wa idara ya kina mama jinsia na watoto wa DMP, apuuzwe tu na gazeti lenyewe lipuuzwe.
 

Ndo maana Paulo alisema ingekuwa vyema wasioe.
 
tatizo la wamama kusimulia matatizo yao ya ndoa kw watumishi wa Mungu...huko huko wanapata na tulizo...
utasikia wewe unakuja JF kutoa siri za ndani...hakuna viongozi wa dini huko kwenu...
Mara elfu JF hakuna anayekujua wala hamkutani face to face
 
Kumbe si wachungaji wanadaiwa.
 
tunahitaji ukweli! sisi waumini!

Je mnakumbuka Askofu Mgwamba ambaye hakuwa na mke??

Tunahitiji kujua ukweli! Haya mambo yanatukwaza sana Waumini!
 
Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Maaskofu na wachungaji wa kilutheri kama malasusa wanaruhusiwa kuoa. Ni wakatoliki peke yake ambao hawaruhusiwi.
 
Kwan waliooa hawabaki?
Hii ni tabia by the way uaskofu au uchungaji kwa namna yyote ile hauondoi tamaa za mwili. Maana matendo ya mwili ndio haya uasherati uchafu ulevi uzinzi ufisadi..... Haya sio matendo ya askofu wala muumini wala shekhe haya ni matendo ya mwili. Ila ukiyafisha kwa njia ya Roho utaishi ila ukiyafuata unatafita kufa.
 
..MSETO…

Huyu Sayed Kubeneasalam hawajui waliompigia kura mpaka anamchafua kiasi hiki Kiongozi wao wa Kiroho kwenye kijarida chake cha UDAKU. Anawakilisha maslahi ya nani katika hili? Mafisadi ambao Askofu amekuwa akiwakemea au ni Siasa chafu?. He is just fighting a loosing war, to tarnish the image of our spiritial leader. Kanisa limekuwepo toka zama, jana na leo na kesho lipo tu na linakua kwa kasi. Hivi Mh. Mbowe anayekaa viti vya mbele pale KKKT Azania Front kama alivyokuwa Mareh Baba yake Aikaeli ameshindwaje kuliona hili taka linalopikwa na Mbungi wake? Shame thing! We stand unmoved by your mud slinging campaign, We trust and love our Bishop![/QUOTE]
Haya mambo hayataki hasira mkuu ngoja tuone ukweli wake "lisemwalo lipo kama halipo linajongea" ila al Bishop waoe tuondoke ukakasi
 
Nilikuwa namjibu huyu mwenzio aliyeshauri maaskofu waoe. Nadhani hukupaswa kunijibu hivi.
Acha kuyakimbia maandiko yako mwenyewe ambayo hata wino hayajakauka! Ulichosema ni kwamba, hizi ni tuhuma za uzushi zenye lengo la kumchafua Malasusa simply because Saed Kubenea ni Mwislam!!! Yaani kwako wewe hili unahusisha na Uislamu wa Kubenea ingawaje Mwandishi sio Kubenea!! Post yako hii hapa:
....Hata hivyo nimeshaona kuna chembechembe za udini zinapandikizwa hapa ili kuonyesha dini fulani haifai! Ukichukulia ukweli kuwa mmiliki wa Mwanahalisi anatokea ile "dini ya haki!"
Jisikie aibu!
 
Nakuchukia sana mwanahabar huru nataka hata ukufe tu khaaaaaa umetumwa kuvunja kanisa kkkt nn aaaakha kufaga tu uoze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…