Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

KKKT ITASIMAMA DAIMA KKKT NI ZAIDI YA MTU wanaotumia Hilo scandal kulichafua kanisa washindwe Na walegee. May God bless KKKT with her all firms . Amen

Kama ni ya kweli, kanisa linachafuliwa na mtenda maovu au wanaomulika maovu?

Why are we this pathetic? Wewe acha uhuni, sikia, tena kwa masikio mbili: ukijamba mbele za watu ukaitwa mpumbavu, aliyetukana siye aliyekuita mpumbavu bali wewe uliyefanya upumbavu.

Mimi sijui kama kuna ukweli juu ya haya mahabari, lkn km ni kweli basi mgomvi wenu ni askofu wenu sio mwenye mke. Tuma kichwa kufikiri
 
Huyo jamaa ni mentally unstable huyu caroline ni mkuu wa idara ya kina mama watoto na jinsia DMP, Waandishi wa habari pia wanatumika kumchafua Askofu na kanisa this guy must be contained otherwise atasababisha usumbufu mkubwa kwa Askofu, na kanisa kwa ujumla/QUOTE]
 
Kuna uwezekano huyo jamaa amenyanyaswa sana mpaka akafikia kuweka mambo hadharani especially pale inakuja kumtuhumu mtu mwenye hadhi ya Malasusa. Hawa ni watu hatari, wanaaminika kwenye jamii, anaweza kukupoteza kweli sababu hakuna mtu ataamini story yako.

Watu kama Malasusa wakiamua wanakufanya maisha yako yawe miserable kabisa sababu wao wanaonekana hawawezi kutenda dhambi Kabisa na pia kanisa haliwezi kukubali kuingia kwenye kashfa za namna hiyo wao watamuadhibu askofu kwa utaratibu wao ila sio public ijue.

Huyu jamaa kama story yake ina ukweli na ana ushahidi basi anahitaji kutumia akili ya hali ya juu kufight hiyo battle maana mke anahakikisha status yake inalindwa na Malasusa nae anafanya hivyo hiyo na kanisa pia linafanya hivyohivyo so ni vita nzito he must be brave and fight bravery!

Nachoweza kusema ni kwamba hawa wanawake tuwaone tu kwenye sketi akiwa mkeo jifunze kuishi nae kwa akili na busara kubwa otherwise wanakuingiza kwenye mambo ya ajabu mwishowe unajikuta umempiga na kumuabuse lazima uwe na akili.

Mwanamke anakukosea na anakufanyia visa, ukiwa na ubongo mwembamba utajikuta umemuabuse, mwanaume lazima ufikirie mara mbili, kwa nini amekukosea? Kwa nini anakujibu hovyo? Lakini kwa nini umpige hata kama anakujibu hovyo na kweli una ushahidi amekukosea? Hapo unamuacha and just move on hata kama mna watoto kumi go and live your life.
Huyo jamaa ni mentally unstable sio wa kuaminika, abuser na huyo mama anayesemekana kuchukua ho watoto ni mkuu wa idara ya kina mama jinsia na watoto wa DMP, apuuzwe tu na gazeti lenyewe lipuuzwe.
 
Jibu zuri sana, watu wanadhani hawa watu hawawezi kutenda dhambi na ndio maana wengi wamewaamini kuwaacha wakae karibu na wake zao mwishowe wake zao wakatafunwa if not kugegedwa.


They are just ordinary human beings made of flesh and blood. Wamezaliwa kama sisi na watakufa vile vile so be careful with them. Listen to what they preach and let them stay away from your marriage.

Lakini pia ni watu muhimu kwenye jamii sababu wanaleta hofu ya Mungu kidogo wanadamu tunapunguza uovu

Ndo maana Paulo alisema ingekuwa vyema wasioe.
 
tatizo la wamama kusimulia matatizo yao ya ndoa kw watumishi wa Mungu...huko huko wanapata na tulizo...
utasikia wewe unakuja JF kutoa siri za ndani...hakuna viongozi wa dini huko kwenu...
Mara elfu JF hakuna anayekujua wala hamkutani face to face
 
masopakyindi
Monday, 22 September 2014



Watoto sita waliobakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji

Watoto sita wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wamwharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa kuwa ni wachungaji.
Wakiwa katika Hospital ya Mountmeru, Arusha walikipelekwa kwa matibabu na kuangaliwa maambukizi ya magonjwa ya Zinaa, watoto hao walidai kufanyiwa mchezo huo kwa nyakati tofauti na wachungaji watatu wa kanisa hilo lililopo eneo la Feed Force, Kwamorombo jijini Arusha. Mmoja wa watoto hao anayesoma darasa la nne aliyeleza kuwa yeye na wenzake walikuwa wakifanyiwa mchezo huo mchafu na wachungaji hao baada ya kuwapatia sh. 2000 za kufunga mdomo.
''Siku moja nilipofika shuleni wenzangu wakaniambia niende kanisani hapo nikapewe hela nilipofika niliwaona wenzangu wakifanyiwa mchezo mchafu na mimi mchungaji aliniambia niiname akanifanyia mchezo huo mchafu na kunipa sh 2000 niliumia sana'' alisema mwanafunzi mmoja.
Mwanafunzi mwingine alisema alikuwa anatoroka shuleni na wenzake na kwenda kwa watumishi ambapo huwaingiza katika kanisa hilo na kujifanya wanawaombea na baadae kuwafanyia mchezo mbaya ''Tukifika wanatufungia ndani na kutuambia tuwanyonye ,baadaye wanatuambia tukusema tu wanatubaka na kutuambia tukisema kwa mtu yoyote watatuchinja na kutuzika ndani ya kanisa lao'' alisema mwanafunzi huyo
Wanafunzi hao walisema watumishi hao wa Mungu huwarubuni kuwa watawasaidia watawasomesha iwampo watakuwa anaenda kwenye kanisa hilo na kuwaingilia. Mzazi mmoja wa watoto hao Julius , mkazi wa Kwamorombo alisema mtoto wake alikuwa akifanyiwa mchezo mbaya baada ya kupatiwa sh 2000.Alisema amegundua hilo baada ya mtoto wake kuchelewa kurudi Nyumbani.
Watoto baadae walihamishiwa katika Hospitali ya Seriani kwa ajili ya vipimo huku taarifa za awali na madaktari wa Hospitali hiyo kuwa Baadhi yao walikuwa na michubuko na kupanuka sehemu za siri hali inayoonyesha kuingiliwa.Watuhumiwa hao wameshikiliwa katika kituo kikuu cha polisi Arusha kwa uchunguzi zaidi na Kamanda wa Polisi Arusha Rebelatus Sabas amethibitisha kutokea kwa tukio hilo
Kumbe si wachungaji wanadaiwa.
 
tunahitaji ukweli! sisi waumini!

Je mnakumbuka Askofu Mgwamba ambaye hakuwa na mke??

Tunahitiji kujua ukweli! Haya mambo yanatukwaza sana Waumini!
 
Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Maaskofu na wachungaji wa kilutheri kama malasusa wanaruhusiwa kuoa. Ni wakatoliki peke yake ambao hawaruhusiwi.
 
Kwan waliooa hawabaki?
Hii ni tabia by the way uaskofu au uchungaji kwa namna yyote ile hauondoi tamaa za mwili. Maana matendo ya mwili ndio haya uasherati uchafu ulevi uzinzi ufisadi..... Haya sio matendo ya askofu wala muumini wala shekhe haya ni matendo ya mwili. Ila ukiyafisha kwa njia ya Roho utaishi ila ukiyafuata unatafita kufa.
 
..MSETO…

Huyu Sayed Kubeneasalam hawajui waliompigia kura mpaka anamchafua kiasi hiki Kiongozi wao wa Kiroho kwenye kijarida chake cha UDAKU. Anawakilisha maslahi ya nani katika hili? Mafisadi ambao Askofu amekuwa akiwakemea au ni Siasa chafu?. He is just fighting a loosing war, to tarnish the image of our spiritial leader. Kanisa limekuwepo toka zama, jana na leo na kesho lipo tu na linakua kwa kasi. Hivi Mh. Mbowe anayekaa viti vya mbele pale KKKT Azania Front kama alivyokuwa Mareh Baba yake Aikaeli ameshindwaje kuliona hili taka linalopikwa na Mbungi wake? Shame thing! We stand unmoved by your mud slinging campaign, We trust and love our Bishop![/QUOTE]
Haya mambo hayataki hasira mkuu ngoja tuone ukweli wake "lisemwalo lipo kama halipo linajongea" ila al Bishop waoe tuondoke ukakasi
 
Mbona mwandishi wa habari hii ni mkiristo, kwani mtu kuwa na mke inazuia yy kuwa na mchepuko ? mbona watu wamekiri kuwa na kiongozi wa kidini mkoa iringa ambaye anawala mademu saana, hawa viongozi wa kidini ni binadamu kama wengine kwa hiyo na wawo wana madhaifu
Nilikuwa namjibu huyu mwenzio aliyeshauri maaskofu waoe. Nadhani hukupaswa kunijibu hivi.
Acha kuyakimbia maandiko yako mwenyewe ambayo hata wino hayajakauka! Ulichosema ni kwamba, hizi ni tuhuma za uzushi zenye lengo la kumchafua Malasusa simply because Saed Kubenea ni Mwislam!!! Yaani kwako wewe hili unahusisha na Uislamu wa Kubenea ingawaje Mwandishi sio Kubenea!! Post yako hii hapa:
....Hata hivyo nimeshaona kuna chembechembe za udini zinapandikizwa hapa ili kuonyesha dini fulani haifai! Ukichukulia ukweli kuwa mmiliki wa Mwanahalisi anatokea ile "dini ya haki!"
Jisikie aibu!
 
Nakuchukia sana mwanahabar huru nataka hata ukufe tu khaaaaaa umetumwa kuvunja kanisa kkkt nn aaaakha kufaga tu uoze
 
Back
Top Bottom