Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Inawezekana story hii ikawa ni MATOPE tu,ukiangalia huyu mtu ana hadhi kubwa kwa watu wake.Ukweli utajulikana.Haingii akilini kiongozi mkuu kama huyu ajihusishe na mambo yenye kumfedhehesha yeye mwenyewe.
 
Mkuu Pachoto maaskofu hawakatazwi kuoa. Huku ni KKKT na siyo Katoliki.
Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
 
Huyo jamaa ana kazi kubwa sana kufight na mtu wa hadhi ya huyo askofu, hao watu wana nguvu kubwa sana usiwaone wanavyoongea kama wapole au wajinga flani, ni wasomi wa hali ya juu na wana akili kubwa sana.
Wanaolazimika kusoma sana ni wa RC tu.
 
Kwani mwanahalisi limeanzishwa mwaka gani mpaka waje kuandika leo, dini zisitutie upofu, lolote linawezekana kikubwa ni kwenda mbali zaidi kujua ukweli, usilete udini hapa.
 
Malasusa ana mke ndugu. Labda ungeuliza kwani Malasusa haruhusiwi kuchepuka? Na jibu lingekua hili, anaruhusiwa ila kimya kimya waumini wake wa jimbo la mashariki tusijue kwani amri ya sita inakataza.
kwan askofu haruhusiw kuwa na mke
 
Huyo jamaa na MWANAHALISI wana ubia?!

Maana habari zake source ni hii tu.

Anyways, Mungu hamfichi mnafiki. Tutajua tu ukweli one day.
 
Kama ni story ya kutunga ina maana watu wote waliotajwa majina katika hili sakata hawapo? Ni kwamba hii issue ipo kikubwa ni kutafuta ukweli zaidi, hakuna habari mpya juu ya viongozi wa dini kujihusisha na mambo mabaya.
 
Hakuna vita mbaya kwenye Jamii kama kugombana na mkeo kama ulivyosema Mwanaume ukiwa na maji ya ubongo bila ubongo utapotea Mwanamke ni mtu mzuri akiwa bado anakupeanda akisha kutoa Moyoni usilazimishe
 
..MSETO…

Huyu Sayed Kubeneasalam hawajui waliompigia kura mpaka anamchafua kiasi hiki Kiongozi wao wa Kiroho. Anawakilisha maslahi ya nani ktka hili, Mafisadi ambao Askofu amekuwa akiwakemea auni Siasa chafu?. He is just fighting a loosing war to tarnish the image of our spiritial leader. Kanisa limekuwepo jana na leo na kesho lipo tu na linakua. Hivi Mh. Mbowe anayekaa viti vya mbele pale KKKT St Joseph kama alivukuwa Mareh baba yake Aikaeli ameshindwaje kuliona hili taka linalopikwa na Mbungi wake? Same thing! We stand unmoved by your mud slinging campaign, We love our Bishop![/QUOTE]

Naamini kanisa lina msemaje na aaccusations ni very serious kwa hhy sitaraji wewe ndio ujitie Kiherehere cha kutuaminisha ni siasa hadi uwachanganye huko Mbowe na Kubenea
 
DNA inahitajika kwa hao watoto, sijui watafanyia wapi kwa hapa bongo vipimo vitabadilishwa .
 
Mbona habari ni ya upande mmoja? Nimeiita habari hii udaku kwakuwa sioni sehemu mwandishi alipofanya mahojiano na Askofu Malasusa
Ni Bahati Mbaya sana haya yanatokea tukiwa hai, kanisa linanajisiwa Na Kiongozi wa juu. Wachangiaji wanakurupuka kwa Kuwa wamezoea kutumika. Hii sio Mara ya kwanza jwa habari Hizi katika Kanisa hili limeshamumbwa na kasha favorite Za namna hii Kwa Muda mrefu, Jerry mngwamba tuko wapi Leo hii? Alikua anatembea na washirika, kingomela na mgogoro wa Msasani ni hayo hayo, Huyu wa sasa hii sio kashfa ya kwanza, Ike habari ya Kimada wa kigamboni ilizimwa, Hal wanawake wa kitengo cha wanawake wamefanya nini Kukemea Huo uchafu, sisi washarika tunaanza mkakati wa kuhama Na kuhamisha watoto watu maana Kanisa hakuna maadili, au wote tuhamie Kimara Kwa mastahi maana Ndio kuna unafaa. Askofu mwakabana wewe Ndio ulistahili Nafasi hiyo ya juu, ma askofu wenye hekima vunja hicho kitengo cha wanawake haraka, huyo askofu a humiliate hatua Mara moja.pole sana mama Erika Malasusa dads wa kisukumu ka Hizi aibu zisizo Na Mwisho, kila siku kila Leo ni majeruhi hayo hayo, itisha hicho kitengo cha wanawake ukawatie adabu, wavunja Nyumba Za watu hao, Na huyo askofu Malasusa ashutakiwe mahakamani, Makonda anatumiaje jeshi la polisi Kubeba mambo hayo wakati Kinondoni umezidiwa Na uhakifu Kwa sasa?
 

mkuu nyuma ya pazia la hyo asikofu kuna njama kama ya ile isu ya frola na mme wake na gwajima kama sikosei..

mme anaweza kufait ili apate watt lkn haitasaidia, ningekuwa mm i could leave the story behind, ambacho sana ningefanya ningemwaachia Mungu tu.... maana yy yupo peke yake.. na hakuna adhabu mbaya kama akinyamaza nakuhakikishia watt watarudi na mke atarudi

isitoshe hyo story huenda ikawa kwel kwa namna ambavyo askofu ni rafiki wa vyombo vya habari asinge sita kukanusha au kusema anahusikaje.....

hawa viongozi wa makanisa ya kiroho nahisi wanamzim wa wake za watu maana tuhuma hizi zipo za kutosha,..

awe mvumilivu Mungu hamtupi mja wake na wala hajawahi kudhihakiwa itajulikana tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…