The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Mkuu huyu Askofu ni wa Kilutheri na anaruhusiwa kuoa na anamke!Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
..MSETO…
Alijuaje kuwa mwanahalisi wana habariyakinifu hadi Malasusa akatae kufanya life intershow ???mkuu alipigiwa sim alipoambiwa ni mwanahalisi akakata sim, alipotumiwa sms hakujib, ulitaka habari isitoke?
sema hoja ya msingi ingekuwa nw dayz mwanahalisi wanaandika habar za udaku?
Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
huu ulimwengu wa kisasa. kwanini apokee alafu akate anapo sikia mpigaji ni mwandishi alikuwa anaogopa nini baba askofuUnampigia simu Askofu?? Ofisi zake hujui zilipo?? Hawa ndio wanahabari uchwara ndio maana vigazeti vyao vinafungiwa tu
kwan askofu haruhusiw kuwa na mke
.......au waolewe kama yule wakule Marekani !Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Wachungaji na maaskofu wa kkt wanaruhusiwa kuonaAma kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Kipofu haoni. Km hakupokea simu na sms aliyotumiwa hakujibu ulitaka mwandishi akafanye mahojiano na mke wa malasusa?Mbona habari ni ya upande mmoja? Nimeiita habari hii udaku kwakuwa sioni sehemu mwandishi alipofanya mahojiano na Askofu Malasusa
Huu ndio udini wenyewe. Badala ya kuongea juu ya ama upotofu wa habari unaingiza na dini zingine ili mabishano yaanze halafu mwishowe watu watukanane then ufurahi. Acha udini kijana.Nani amekwambia Askofu Malasusa hana mke?
Hizi porojo za Mwanahalisi zisikufanye utende dhambi! Hata hivyo nimeshaona kuna chembechembe za udini zinapandikizwa hapa ili kuonyesha dini fulani haifai! Ukichukulia ukweli kuwa mmiliki wa Mwanahalisi anatokea ile "dini ya haki!"
..MSETO…
Hebu acha ujinga wa kuingiza chuki zako, kwahyo mwandsh akiwa muislam haruhusiw kuandika hbr za mkristo?Nani amekwambia Askofu Malasusa hana mke?
Hizi porojo za Mwanahalisi zisikufanye utende dhambi! Hat