masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Suala likienda mahakamani nahisi harufu ys fedha hapa , kushabikia tuhuma zisozo na uthibitisho kuna kajinai hapo.Sidhani kama ni jukumu la mwanahalisi kuthibitisha ugoni!! Wao wamereport habari za ugoni toka kwa mhusika "Mwakilima" sasa ni jukumu la askofu kukanusha habari za ugoni au kuzitolea maelezo!! Na si lazima uzinzi ufanyike guest hata ofisini unaweza fanyika..
Kipigo kwa mkewe kinaweza kikawa ni matokeo ya huo uzinzi wa mke refer kitu kinaitwa HEAT OF PASSION after all huyo mgoni alifanya hayo baada ya kukuta ujumbe mfupi wa simu......
Mnazungumzia askofu kudhalilishwa hamuongelei kudhalilushwa kwa ndoa takatifu wala mme wa mchungaji!!