Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Mume wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya Malasusa na Jeshi la Polisi,
Akizungumza na MwanaHALISI online baada ya kuachiwa huru kutoka polisi kwa tuhuma za kushambulia, amesema watoto wake walichukuliwa na raia mmoja mjerumani aliyeolewa na mtanzania, anaitwa Caroline Shedafa.

Caroline Shedafa ametuhumiwa kuwa ametumia mwanya wa malalamiko ya Mwakilima na Malasusa kwa sababu ya urafiki alifanikiwa kuwatorosha watoto hao na kwamba ana mpango wa kuwasafirisha kwenda nje ya nchi wakati wowote.

MwanaHALISI limemtafuta Shedafa kwa tuhuma hizo, alipokea simu na baada ya kuambiwa kuwa anaongea na MwanaHALISI alikata simu na kukataa kuongea suala hili na mwandishi.

Malasusa anadaiwa kuwa anadaiwa kushirikiana na mfanyakazi wa hospitali ya Muhimbili anayeitwa Julieti, aliyewaambia ndugu wa mume anayenyang’anywa mke wake na malasusa kuwa atakiona.

Huyu kaka anajidai mjuaji, hapti kitu, utaratibu uko tayari wa kuwasafirisha watoto kwenda nje ya nchi na hatawaona tena, ataishia kuwasikia tu, mimi ni mtu wa Karibu na Askofu Malasusa ndo nawaambia”. Alinukuliwa dada huyo akiongea kwa ujasiri.

Hadi sasa watoto wanaotafutwa na baba yao ambao Jeshi la Polisi linadaiwa kushirikiana na Malasusa licha ya taarifa zao kufika polisi kituo cha Wazo na kutochukuliwa hatua ni Sijenuni, Sephania, na Simon wote wanadaiwa kuwa watoto wa Venance Mwakilima.

Taarifa za leo usiku zilizofikiwa MwanaHALISI online zinadai kuwa baadhi ya Maaskofu Jijini Dar es Salaam wameamua kujitokea kulinda heshima ya uaskofu baada ya kudhalilishwa na Malasusa.

Maaskofu ambao hawakupenda kutajwa majina yao kwa kuwa si wasemaji wa vikao halali wamesema “hili suala tunalichukua,

Malasusa ana tuhuma nzito nchini, na baada ya gazeti kuandika watu wamejitolea kujieleza tunaomba muda kesho (Jumatano) tutaliongelea hadharani baada ya kukutana na mume wa me.

Aidha Malasusa hakupatikana kwenye simu zake wala kujibu ujumbe wa simu aliotumiwa tangu juzi wakati gazeti la MwanaHALISI likiendelea kufuatilia sakata hili.

Mwanahalisi Online.

Pole buku 7 kwa kutumika vibaya, ila ukumbuke kunatoa hesabu kwa kila jambo baadaye.
 
Ukitaka kupiga hela kirahisi kwa waafrika, au kupata wanawake wa kiafrika kiurahisi we anzisha tu kanisa!
 
Baki na majini yako yanyokuongoza ambayo hayakuoneshi jinsi ambavyo dini yako inaongoza kwa kuchinja watu.
Mkuu umesahau majini ndo biashara kubwa ya wachungaji wa makanisa hasa makanisa ya kiroho,kila siku ni kutoana tu mapepo, eti miujiza! Ujinga mtupu
 
Kuna kampeni kubwa inayoendelea ya kumchafua Bishop mstaafu Malasusa na KKKT
Nina maswali mengi sana kichwani kuanzia media iliyotumika kulireport hili swala! Mwisho wake utajulikana tu! Ngoja tuone!!!
 
Kila uozo wa kijamii kitovu chake ni wachungaji makanisani.

Kuoana jinsia moja wao.
Kulawitiana wao.
Kuharibu watoto wao.
Viungo vya Albino wao.
Uzinzi wao.
Uasherati wao.
Madawa ya kulevya wao.

Na misukule bado wanawafata hao hao eti wawafutie dhambi.

Hakika wajinga ndiyo waliwao.
Vipi wale walimu wa madrasa wanaowafukunyua inya wanafunzi wao huko vyuoni kwenu nao ni wachungaji wa kanisa gani?
 
Ukitaka kupiga hela duniani, na kuwazini wake na mabinti wa watu we anzisha tu kanisa Afrika, utaishi kwa raha mustarehe hapa duniani, na kwa heshima zote!
Una akili mfu
 
Kila uozo wa kijamii kitovu chake ni wachungaji makanisani.

Kuoana jinsia moja wao.
Kulawitiana wao.
Kuharibu watoto wao.
Viungo vya Albino wao.
Uzinzi wao.
Uasherati wao.
Madawa ya kulevya wao.

Na misukule bado wanawafata hao hao eti wawafutie dhambi.

Hakika wajinga ndiyo waliwao.
Mashekhe wanapolawiti watoto wa madarssa usikii na wanapofungisha ndoa za jinsia moja huoni.
 
Mkuu umesahau majini ndo biashara kubwa ya wachungaji wa makanisa hasa makanisa ya kiroho,kila siku ni kutoana tu mapepo, eti miujiza! Ujinga mtupu
Vipi kuhusu uchinjaji wa watu kwa kuwa tu siyo waislamu?
 
Kivipi?? Kwani kamati kuu ya CDM imelitolea tamko?? Acha ufaatani wewe!! Ungekuwa na Hekima ungeuliza kwa nini Mwanahalisi wanaifuatilia KKKT?? Maana kama unakumbuka mwanahalisi bro lilireport Issue ya Askofu Kweka, na issue ya mgogoro wa Dayosisi ya Njombe na iliweka hadi Barua za Mungai..
Mwanahalisi ni gazeti la Kubenea si la chama kama ilivyo TanzaniaDaima ni la Mbowe si la chama kwa hiyo saa nyingine wanaandika their interests sio za chama
Ubarikiwe sana mkuu pukudu kwa kukifafanua vizuri hili suala maana tayari watu wameamua kuingiza siasa
 
Mwanahalisi halijathibitisha ugoni wa Malasusa.
Lilete gesti ufuska huo ulipofanyika la sivyo kijigazeti hiki kinatumika kumchafua Malasusa.

Vile vile gazeti haliongelei jinsi Mwakilima alivyo mdhalilisha mke wake ambaye ni mchungaji, kumpiga hadi kupelekwa hospitali.
Kesi hiyo inaendeleaje polisi?
Mwanahalisi wamepigiwa simu juu ya hili hawana majibu na simu haipokekewi!
Punguza povu lako ambalo tayari limezunguka kwenye kona za midomo yako
 
Ungekuwa na hekima KAMWE usingethubutu kuandika post ya aina hii. Hakuna jambo baya kama mtu kuwa na shule ndogo na kisha kukosa hekima. Mbona ukada wa vyama unawaondolea watu ufahamu?
Asante sana kwa kutema nondo za 16mm
 
Kuna watu ambao upeo wao wa kuelewa hata jambo dogo ni mdogo. Kwa kuwa imeandikwa na Mwanahalisi tayari kwake yeye ni Chadema. Hii ni mijitu iliyokimbia shule. Sasa subiri Juni ifike hizi simu feki zifungwe. Bila shaka post zisizokuwa na umakini zitapungua. Wanadhani kila kitu cha Kubenea ni cha chama. Ovyo kabisa.
Baada ya june jf itaheshimika sana
 
Back
Top Bottom