pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Mbona hamtaki tuwe na tume huru kama kweli mnajiamini?Eti wapinzani, mbulla, tanzania kuna wapinzani?
Hakuna wa kuishinda ccm miaka 20000 hata wakisimamisha chizi
Ccm daima
Mungu anapotaka kuleta saa ya UKOMBOZI huifanya mioyo ya Watawala kuwa migumu. Farao/Firauni aliwekewa kiburi moyoni na kupuuza kila kitu alichoambiwa na Nabii Mussa akiringia nguvu ya majeshi. CCM miaka mingi wameringia nguvu ya majeshi hawategemei sanduku la kura, lakini Kwa hili la mkataba wa Kimangungo wa bandari unaweza kuwa kaburi lao.Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Kashifa hizi, mithili ya dhoruba kali baharini, zimekuja kuzamisha mtumbwi ambao teyari ulikuwa umetoboka na sasa unajaa maji(unazama).
Mama alikuwa teyari hakubaliki sana, na badala ya kufanya mambo ambayo yangemsaidia kukubalika, amefanya kinyume chake kupata hizi kashifa zinazoendelea kuibuliwa na wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na watu wa makundi mengine katika jamiii mfano viongozi wa dini.
Ukiacha hayo, wafuasi wa Mwendazake ndani ya chama chake nao ni tatizo kwake. Hivyo, baadhi ya kura za wana-CCM, Mama atakwenda kugawan na wapinzani jambo litalokwenda kumuweka katika hali mbaya zaidi.
Sio Samia tu kama mgombea uraisi atakaeathirika(naamini atagombea), bali hata wagombea ubunge wa CCM nao wataathirika kwa kuridhia ule mkataba mbovu wa bandari.
Kama ambayo kashifa za wizi na ufisadi wakati wa Kikwete zilivyoigharimu CCM kwenye chaguzi za 2010 na 2015, ndivyo ambavyo kashifa hizi zinazoendelea zitakwenda kuigharimu vibaya zaidi CCM katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025.
Hali ikiendelea hivi, itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kupata asilimia 30 ya kura zote na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 kote bara na visiwani.
Najua hatuna tume huru ya uchaguzi na wala CCM hawatakubali tuwe na tume huru, lakini huo ndio utakuwa uhalisia katika uchaguzi ujao(makaratasi yatawapa uhalisia hata kama watatangaza tofauti).
Walioko hatarini zaidi ni wagombe ubunge ambao sometimes huwa ni vigumu kupindua matokeo labda kama Mama afanya kama alivyofanya Mwendake kuwa ni lazima watangazwe washindi ingawa hii inahitaji roho ngumu na elements za ukatili mambo ambayo Mama yanaweza kumshinda.
Time will tell.
Matanzania mengi ni matakataka! Pia kumbuka ameahidi kwemda kutafuta 125b kwa ajili ya polisi kusimamia vizuri uchaguzi! Unafikri tutatendewa sawa uchaguzi ujao?Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Kashifa hizi, mithili ya dhoruba kali baharini, zimekuja kuzamisha mtumbwi ambao teyari ulikuwa umetoboka na sasa unajaa maji(unazama).
Mama alikuwa teyari hakubaliki sana, na badala ya kufanya mambo ambayo yangemsaidia kukubalika, amefanya kinyume chake kupata hizi kashifa zinazoendelea kuibuliwa na wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na watu wa makundi mengine katika jamiii mfano viongozi wa dini.
Ukiacha hayo, wafuasi wa Mwendazake ndani ya chama chake nao ni tatizo kwake. Hivyo, baadhi ya kura za wana-CCM, Mama atakwenda kugawan na wapinzani jambo litalokwenda kumuweka katika hali mbaya zaidi.
Sio Samia tu kama mgombea uraisi atakaeathirika(naamini atagombea), bali hata wagombea ubunge wa CCM nao wataathirika kwa kuridhia ule mkataba mbovu wa bandari.
Kama ambayo kashifa za wizi na ufisadi wakati wa Kikwete zilivyoigharimu CCM kwenye chaguzi za 2010 na 2015, ndivyo ambavyo kashifa hizi zinazoendelea zitakwenda kuigharimu vibaya zaidi CCM katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025.
Hali ikiendelea hivi, itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kupata asilimia 30 ya kura zote na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 kote bara na visiwani.
Najua hatuna tume huru ya uchaguzi na wala CCM hawatakubali tuwe na tume huru, lakini huo ndio utakuwa uhalisia katika uchaguzi ujao(makaratasi yatawapa uhalisia hata kama watatangaza tofauti).
Walioko hatarini zaidi ni wagombe ubunge ambao sometimes huwa ni vigumu kupindua matokeo labda kama Mama afanya kama alivyofanya Mwendake kuwa ni lazima watangazwe washindi ingawa hii inahitaji roho ngumu na elements za ukatili mambo ambayo Mama yanaweza kumshinda.
Time will tell.
Leo Tundu Ole Lissu,alikua Ngorongoro,na kule alikua ameshapewa katazo kabla lakini akaenda na polisi wameonekana wakilinda badala ya kumkamata.Siyo muda wote,polisi na vyombo vya ulizi na usalama vingine,vinafanyafanya tu hovyohovyo.Ngoja uone 2025.Tambua vyama pinzani,vinategemea nguvu ya umma.Haiwezekani watu wakatae matokeo,wewe ung'ang'anie,yakikupata ya kukupata,usije kulaumu.Matanzania mengi ni matakataka! Pia kumbuka ameahidi kwemda kutafuta 125b kwa ajili ya polisi kusimamia vizuri uchaguzi! Unafikri tutatendewa sawa uchaguzi ujao?
[emoji2956][emoji1732][emoji2788][emoji1720][emoji120][emoji7][emoji2956]Bila huyu mama Tanzania ingekuwa maiti kabisa post corrona kama nchi nyingi zinavyo henya.
Mama kwa leadership yake ameweza kupunguza sana makali ya ugumu wa maisha na wakati huo huo akiongeza ajira, kupandisha mishahara na muhimu kuhakikisha miradi yote ya maendeleo haisimami.
Huyu mama ni baraka na tunu kubwa kwa watanzania.
ccm wanategea mbinu zao binafsi kushinda uchaguzi sio kura yako,wao wanachokitaka watu waoneka kwenye mikutano yao hata kwakuwanunua bei kubwa.Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Kashifa hizi, mithili ya dhoruba kali baharini, zimekuja kuzamisha mtumbwi ambao teyari ulikuwa umetoboka na sasa unajaa maji(unazama).
Mama alikuwa teyari hakubaliki sana, na badala ya kufanya mambo ambayo yangemsaidia kukubalika, amefanya kinyume chake kupata hizi kashifa zinazoendelea kuibuliwa na wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na watu wa makundi mengine katika jamiii mfano viongozi wa dini.
Ukiacha hayo, wafuasi wa Mwendazake ndani ya chama chake nao ni tatizo kwake. Hivyo, baadhi ya kura za wana-CCM, Mama atakwenda kugawan na wapinzani jambo litalokwenda kumuweka katika hali mbaya zaidi.
Sio Samia tu kama mgombea uraisi atakaeathirika(naamini atagombea), bali hata wagombea ubunge wa CCM nao wataathirika kwa kuridhia ule mkataba mbovu wa bandari.
Kama ambayo kashifa za wizi na ufisadi wakati wa Kikwete zilivyoigharimu CCM kwenye chaguzi za 2010 na 2015, ndivyo ambavyo kashifa hizi zinazoendelea zitakwenda kuigharimu vibaya zaidi CCM katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025.
Hali ikiendelea hivi, itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kupata asilimia 30 ya kura zote na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 kote bara na visiwani.
Najua hatuna tume huru ya uchaguzi na wala CCM hawatakubali tuwe na tume huru, lakini huo ndio utakuwa uhalisia katika uchaguzi ujao(makaratasi yatawapa uhalisia hata kama watatangaza tofauti).
Walioko hatarini zaidi ni wagombe ubunge ambao sometimes huwa ni vigumu kupindua matokeo labda kama Mama afanya kama alivyofanya Mwendake kuwa ni lazima watangazwe washindi ingawa hii inahitaji roho ngumu na elements za ukatili mambo ambayo Mama yanaweza kumshinda.
Time will tell.
Sasa wewe mbona hapo umetumia akili ya kinyumbu. Kumbe huwa mnapewa viti? Kwa hiyo hamshindi uchaguzi? Sasa kwa taarifa yako, hivyo viti vya kupewa ndiyo vinawadhoofisha mugonekana wachumia tumbo na hamtakaa mushinde uchaguziKwa wapiga kura hawa wa bongo na kwa katiba hii!?
Sana sana Mama atacama ushauri wa JK kuwapa wapinzani viti kadhaa bungeni tofauti na Mwendazake aliyekusudia kuua kabisa upinzani akafa yeye
Ndicho ninachokijua. Maana hata kabla ya sakata la bandari uchunguzi wangu ulionyesha mama hakubaliki kabisa na wengi wakawa wanasema "tumepigwa na katiba"Watamtoa huyo, hatogombea, ndo mpango wao.
mbinu pekee iliyobaki kwa ccm 2025 ni kuiba kura na kutisha wananchi. ndio maana wameanza na jeshi kwa kisingizio cha kutafuta sare za jeshi. ila wasichojua ni kwamba, dunia ile ya miaka ile sio ya sasahivi. Mungu ibariki Tanzania. chadema wanachohitaji sasahivi ni mbinu za kutunza kura zisiibiwe tu, wakifanikiwa hilo, kazi imeisha.Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Kashifa hizi, mithili ya dhoruba kali baharini, zimekuja kuzamisha mtumbwi ambao teyari ulikuwa umetoboka na sasa unajaa maji(unazama).
Mama alikuwa teyari hakubaliki sana, na badala ya kufanya mambo ambayo yangemsaidia kukubalika, amefanya kinyume chake kupata hizi kashifa zinazoendelea kuibuliwa na wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na watu wa makundi mengine katika jamiii mfano viongozi wa dini.
Ukiacha hayo, wafuasi wa Mwendazake ndani ya chama chake nao ni tatizo kwake. Hivyo, baadhi ya kura za wana-CCM, Mama atakwenda kugawan na wapinzani jambo litalokwenda kumuweka katika hali mbaya zaidi.
Sio Samia tu kama mgombea uraisi atakaeathirika(naamini atagombea), bali hata wagombea ubunge wa CCM nao wataathirika kwa kuridhia ule mkataba mbovu wa bandari.
Kama ambayo kashifa za wizi na ufisadi wakati wa Kikwete zilivyoigharimu CCM kwenye chaguzi za 2010 na 2015, ndivyo ambavyo kashifa hizi zinazoendelea zitakwenda kuigharimu vibaya zaidi CCM katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025.
Hali ikiendelea hivi, itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kupata asilimia 30 ya kura zote na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 kote bara na visiwani.
Najua hatuna tume huru ya uchaguzi na wala CCM hawatakubali tuwe na tume huru, lakini huo ndio utakuwa uhalisia katika uchaguzi ujao(makaratasi yatawapa uhalisia hata kama watatangaza tofauti).
Walioko hatarini zaidi ni wagombe ubunge ambao sometimes huwa ni vigumu kupindua matokeo labda kama Mama afanya kama alivyofanya Mwendake kuwa ni lazima watangazwe washindi ingawa hii inahitaji roho ngumu na elements za ukatili mambo ambayo Mama yanaweza kumshinda.
Time will tell.
Hii sio kazi ya chadema bali ni kazi ya kila Mtanganyika,hizo kura tukiwapigia chadema ccm wakaziiba wanaumia ni sisi Watanganyika sio Chadema hili ni jukumu letu wa Tanganyika,pia ccm wakituzidi akili kwenye kudokoa kura pia tuna option ya kuwaondoa kwa maandamano nchi mzima na kuwatoa kwa nguvu kama kupe.mbinu pekee iliyobaki kwa ccm 2025 ni kuiba kura na kutisha wananchi. ndio maana wameanza na jeshi kwa kisingizio cha kutafuta sare za jeshi. ila wasichojua ni kwamba, dunia ile ya miaka ile sio ya sasahivi. Mungu ibariki Tanzania. chadema wanachohitaji sasahivi ni mbinu za kutunza kura zisiibiwe tu, wakifanikiwa hilo, kazi imeisha.
nikisema chadema, namaanisha "wanachadema" nchi nzima, kulinda kura kuanzia level ya mtaa hadi taifa. wakitushinda kwenye kulinda kura kwasababu wanayo mapolisi, tumekwisha, ila tukiwashinda kwenye ulinzi ambao hata hatuhitaji kutumia nguvu, ni kutumia akili na uzalendo tu, nchi tumeshachukua.Hii sio kazi ya chadema bali ni kazi ya kila Mtanganyika,hizo kura tukiwapigia chadema ccm wakaziiba wanaumia ni sisi Watanganyika sio Chadema hili ni jukumu letu wa Tanganyika,pia ccm wakituzidi akili kwenye kudokoa kura pia tuna option ya kuwaondoa kwa maandamano nchi mzima na kuwatoa kwa nguvu kama kupe.