Sakata la Bandari: Spika Tulia atoa ufafanuzi

Unachukua "article" moja na kutuletea hapa....

Mikataba yote mikubwa ya kimataifa ina "clause" hizo....

Kama huu ndio mkataba usemao basi jibu amekupa mh.Spika Dr Tulia....kuwa bunge halijaamua....mnakwama wapi ?!!!
watanzania tuache uongo
 
Tulia usiungane na mafisadi ya awamu ya nne kuiangamiza nchi

Linda heshima yako muogope hata magufuli huko alipo

La sivyo utahesabiwa na waarabu siku ya kujubu
 
Unataka kumwaga damu yako? Ili upate nini khasa?
 
Hili jambo lina ujanja mwingi sana, gatekeepers sio wa kuaminiwa tena.
 
Reactions: Ame
Tulia ni Mlokole tangu akiwa Zanaki alikuuwa akisali pale TAG Upanga CCC

Mungu wa mbinguni azidi kumbariki!
Umesema ni Mlokole si Mkristo. Naamini ndio maana alipokea ubunge hewa. Angekuwa Mkristo asingepokea ubunge hewa
 
Wanaopinga wote either ni wadini au mafisadi ya bandarini so wanaona mirija inaenda kukatwa

Hamrudi ng'o hata mfanyeje
"mifisadi ya bandarini"....

Mfano hai ni leo hii asubuhi....

Nilikuwa nakunywa kahawa pale kwa DIWANI njia ya kwenda bomba mbili....yuko mshkaji anafanya kazi TPA Dar....kwa zaidi ya nusu saa alikuwa anamponda mh.Rais SSH na huu uamuzi....akisema anauza nchi....huyu kijana mwenzetu "anakoga" tu Fedha huko TPA....machoni alikuwa anaonyesha hasira ya dhahiri kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ninajiandaa uzee wangu nisijutie UJINGA na UPUMBAVU wa huu ujana wangu......

Usipowekeza katika kutafuta busara utakuja kujuta uzeeni....utaukosa usingizi kwa kule tu KUKUBALI KUDANGANYWA NA KULISHWA MATANGO PORI....dunia imejaa deception...kuanzia kwa baadhi ya walimu wetu hadi viongozi wa dini....

Unajifanya kuwagawa watu katika makundi ya uzalendo na kumtukuza mtu mmoja tu....JPM...unawananga wengine kana kwamba taifa hili lilianzishwa na kuanza na JPM....yaani wote wengine ni wabaya....UZEENI unakuja kugundua kuwa ULIISHI CHUKI uliyotengenezewa kwa MASLAHI YA WATU WENGINE....

AMKA UPANUE UBONGO WAKO ...

#SiempreJMT[emoji120]
 
Anachokataa ni Nini?. Maana tayari azimio limeshapitishwa kwenye kamati za bunge.
 
Hawa washenzi walifikiri wtz ni wajinga sana?

Na bado tutabeba bunduki tuingie kitaa ndio akili zitawakaa sawa
 
Tulia aache kelele, zile terms za hovyo kwenye ule mkataba hazistahili kabisa kuwepo, na hilo bunge lake ameshindwa kulisimamia haliamini ndio maana keleke zinapigwa, wakipitisha ule upuuzi watalaaniwa.
 
Hawa washenzi walifikiri wtz ni wajinga sana?

Na bado tutabeba bunduki tuingie kitaa ndio akili zitawakaa sawa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
Mnakimbizwa na panya road tu ndio mtaweza huku?
Hahahahahahahahaha
You made my day
 

Quid Pro Quo.....tuendelee na elimu yetu ya kukariri
 
Hapo uliposema bunge litajadiri na kupitisha umechemsha…


Ulitakiwa kusema Bunge litajadili na kupitisha au kutopisha azimio hilo
 
Panya road nao ni watanzania wana haki kwenye bandari. Ama ulijua panya road ni wakenya!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…