Sakata la Bandari: Tunafungua Shauri Mahakama Kuu kwa Hati ya Dharura

Mdude_Nyagali

Member
Joined
Dec 11, 2022
Posts
79
Reaction score
1,444
Sakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo.

Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba Mahakama imuamuru mara moja Waziri mwenye dhamanakuurejesha Mkataba ule Bungeni ukiwa na MoU, IGA na Mchanganuo wa Mradi ili Bunge na wananchi wapate haki yao ya Kikatiba ya Kutoa maoni.

Kwamba lengo la shauri hilo ni:

(a) kuwezesha na Kutoa Muda wa Kutosha wa Bunge Kuujadili na kuufanyia Marekebisho.

(b) Kutoa Muda wa Kutosha kwa wadau na Wananchi kuuelewa, kuujadili na kutoa Maoni yao kuhusu mambo yanayojumuishwa katika IGA.

(c) Kuweka Utaratibu maalum ambao wadau wote (ikiwemo Indegenous people) ambao kwa msingi wa Maisha yao, Maeneo yao, jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa. Kwamba jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa , bahari ,Strategic Economic Zone ambazo utekelezwaji wa IGA hii unaweza moja kwamoja kwa kwanjia zisizo za moja kuathiri maisha, Mila, itikadi za watu hawa ni (Wenyeji wa asili wa Maeneo ambayo mradi inayojumuishwa katika IGA –katika ukanda wa bahari na maziwa makuu.

(d) Ili kuondoa Utata uliopo Mahakama iamuru serikali kupitia Waziri mwenye dhamana kutoa IGA katika lugha ya Kiswahili na kuisambaza kwa wadau na wananchi wote pamoja na kuzingatia matakwa yote ya kisheria kwa mujibu wa Mikataba ya namna hii.

(e) Kuboresha Makubaliano ya IGA na kuweka bayana

i. Ukomo na mawanda ya Mradi na utekelezwaji wa shughuli zote
zilizokubaliwa katika mradi husika

ii. Kuweka kifungu cha kuongoza uvunjaji wa Mkataba.

iii. Kuondoa Vifungu vinavyoashiria umilele.

iv. Kuondoa Vifungu vyote ambavyo moja kwa moja au kwa matokeo yake vinaondoa Haki ya nchi ya umiliki wa raslimali (Sovereignty), haki ya nchi kufanya ushindani na fursa ya nchi kuruhusu wawekezaji wengine katika eneo la uwekezaji wa bandari.

v. Kuhakikisha Uzingatiwaji wa Sheria Zingine za Nchi na kuhakikisha kwamba Mkataba huu hauwi juu ya Katiba ya nchi, sheria za Ardhi na sheria zinazolinda raslimali asili za nchi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Habari zaidi, soma:
  1. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
 
Sakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo.

Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba Mahakama imuamuru mara moja Waziri mwenye dhamanakuurejesha Mkataba ule Bungeni ukiwa na MoU, IGA na Mchanganuo wa Mradi ili Bunge na wananchi wapate haki yao ya Kikatiba ya Kutoa maoni.

Kwamba lengo la shauri hilo ni:

(a) kuwezesha na Kutoa Muda wa Kutosha wa Bunge Kuujadili na kuufanyia Marekebisho.

(b) Kutoa Muda wa Kutosha kwa wadau na Wananchi kuuelewa, kuujadili na kutoa Maoni yao kuhusu mambo yanayojumuishwa katika IGA.

(c) Kuweka Utaratibu maalum ambao wadau wote (ikiwemo Indegenous people) ambao kwa msingi wa Maisha yao, Maeneo yao, jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa. Kwamba jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa , bahari ,Strategic Economic Zone ambazo utekelezwaji wa IGA hii unaweza moja kwamoja kwa kwanjia zisizo za moja kuathiri maisha, Mila, itikadi za watu hawa ni (Wenyeji wa asili wa Maeneo ambayo mradi inayojumuishwa katika IGA –katika ukanda wa bahari na maziwa makuu.

(d) Ili kuondoa Utata uliopo Mahakama iamuru serikali kupitia Waziri mwenye dhamana kutoa IGA katika lugha ya Kiswahili na kuisambaza kwa wadau na wananchi wote pamoja na kuzingatia matakwa yote ya kisheria kwa mujibu wa Mikataba ya namna hii.

(e) Kuboresha Makubaliano ya IGA na kuweka bayana

i.- Ukomo na mawanda ya Mradi na utekelezwaji wa shughuli zote
zilizokubaliwa katika mradi husika

ii.- Kuweka kifungu cha kuongoza uvunjaji wa Mkataba.

iii. - Kuondoa Vifungu vinavyoashiria umilele.

iv.- Kuondoa Vifungu vyote ambavyo moja kwa moja au kwa matokeo yake vinaondoa Haki ya nchi ya umiliki wa raslimali (Sovereignty), haki ya nchi kufanya ushindani na fursa ya nchi kuruhusu wawekezaji wengine katika eneo la uwekezaji wa bandari.

v. - Kuhakikisha Uzingatiwaji wa Sheria Zingine za Nchi na kuhakikisha kwamba Mkataba huu hauwi juu ya Katiba ya nchi, sheria za Ardhi na sheria zinazolinda raslimali asili za nchi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Mkuu kumbe una akili nzuri sana ukitulia. Kabla nilijua wewe ni mtaalamu wa matusi tu kama wahuni, vijana wengine wasio na maadili.

Jitahidi ubaki na hoja, kujibu hoja usitukane. Utaungwa mkono. Hapa nakuunga mkono pamoja na shauri lako.
 
Sakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo.

Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba Mahakama imuamuru mara moja Waziri mwenye dhamanakuurejesha Mkataba ule Bungeni ukiwa na MoU, IGA na Mchanganuo wa Mradi ili Bunge na wananchi wapate haki yao ya Kikatiba ya Kutoa maoni.

Kwamba lengo la shauri hilo ni:

(a) kuwezesha na Kutoa Muda wa Kutosha wa Bunge Kuujadili na kuufanyia Marekebisho.

(b) Kutoa Muda wa Kutosha kwa wadau na Wananchi kuuelewa, kuujadili na kutoa Maoni yao kuhusu mambo yanayojumuishwa katika IGA.

(c) Kuweka Utaratibu maalum ambao wadau wote (ikiwemo Indegenous people) ambao kwa msingi wa Maisha yao, Maeneo yao, jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa. Kwamba jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa , bahari ,Strategic Economic Zone ambazo utekelezwaji wa IGA hii unaweza moja kwamoja kwa kwanjia zisizo za moja kuathiri maisha, Mila, itikadi za watu hawa ni (Wenyeji wa asili wa Maeneo ambayo mradi inayojumuishwa katika IGA –katika ukanda wa bahari na maziwa makuu.

(d) Ili kuondoa Utata uliopo Mahakama iamuru serikali kupitia Waziri mwenye dhamana kutoa IGA katika lugha ya Kiswahili na kuisambaza kwa wadau na wananchi wote pamoja na kuzingatia matakwa yote ya kisheria kwa mujibu wa Mikataba ya namna hii.

(e) Kuboresha Makubaliano ya IGA na kuweka bayana

i. Ukomo na mawanda ya Mradi na utekelezwaji wa shughuli zote
zilizokubaliwa katika mradi husika

ii. Kuweka kifungu cha kuongoza uvunjaji wa Mkataba.

iii. Kuondoa Vifungu vinavyoashiria umilele.

iv. Kuondoa Vifungu vyote ambavyo moja kwa moja au kwa matokeo yake vinaondoa Haki ya nchi ya umiliki wa raslimali (Sovereignty), haki ya nchi kufanya ushindani na fursa ya nchi kuruhusu wawekezaji wengine katika eneo la uwekezaji wa bandari.

v. Kuhakikisha Uzingatiwaji wa Sheria Zingine za Nchi na kuhakikisha kwamba Mkataba huu hauwi juu ya Katiba ya nchi, sheria za Ardhi na sheria zinazolinda raslimali asili za nchi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
we zuzu karudishe hela ya watu utakuja kuolewa
 
Mnastahili pongezi kwa uamuzi wa busara mliochukua, hakika historia ya kizazi cha Tanzania itawakumbuka kwa jitihada mliyofanya, bila kujali outcome ya maamuzi ya kesi mtakayofungua.

Kwasababu kimsingi inaonekana wazi, yale makubaliano yanatubana haswa, niseme tumejibana, mwarabu amepewa uwanja mpana wa kujidai, atufanye vile atakavyo, kwa namna hiyo nikitazama, naona tunaweza kuwabana wale walioingia makubaliano ya hovyo, lakini hatuwezi kuzuia utekelezaji wake kimkataba kuanza.

Shauri mlilofungua kwa upande mwingine ni zuri sana kupima weledi wa mahakama zetu, tuone kama zipo huru kulinda haki za wabara zilizoporwa kwenye makubaliano yale, hapa ndipo nia ya Samia, majaji watakaosikiliza hiyo kesi itakapopimwa, kwasababu haki yetu iliporwa.

Pia, mahakama za kimataifa kwa upande mwingine naona zinaweza kuwa na suluhisho kwetu la muda mrefu kwenye hili, jaribuni kutazama mataifa mengine waliyoifungulia kesi DP World, wao walitumia mahakama zipi?

Tazameni mashtaka waliyokwenda nayo, pia muone kama mahakama hiyo inahitaji kwanza upitie mahakama za ndani kutafuta haki yako kabla ya kwenda huko, muhimu haki yetu wabara ikatafutwe popote, potelea mbali hata kama mwarabu atashinda kesi, wacha alipwe fidia yoyote, lakini atuachie uhuru wetu ndani ya nchi yetu Tanganyika, pamoja na vizazi vyetu vijavyo.
 
Huyu mfungua kesi mbona kama ana mambo mengi?

Aende tu na hoja ya kukataa kuuzwa bandari zetu.
Siku zote kufungua kesi kunataka akili, huwezi kufungua kwa sababu za jumla jumla, utapigwa upesi, ukisema tu unapinga uuzwaji, kisha mahakama ikikuuliza risiti iko wapi? hauna, na kesi itaishia hapo.

Lazima kwanza utazame makubaliano waliyoingia, then ndio uangalie mapungufu yaliyopo huko kisheria, mfano hoja ya kushirikishwa wananchi, japo ipo kwenye makubaliano, lakini haikutekelezwa ipasavyo, hicho ndicho walichofanya wafungua kesi.
 
Sakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo.

Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba Mahakama imuamuru mara moja Waziri mwenye dhamanakuurejesha Mkataba ule Bungeni ukiwa na MoU, IGA na Mchanganuo wa Mradi ili Bunge na wananchi wapate haki yao ya Kikatiba ya Kutoa maoni.

Kwamba lengo la shauri hilo ni:

(a) kuwezesha na Kutoa Muda wa Kutosha wa Bunge Kuujadili na kuufanyia Marekebisho.

(b) Kutoa Muda wa Kutosha kwa wadau na Wananchi kuuelewa, kuujadili na kutoa Maoni yao kuhusu mambo yanayojumuishwa katika IGA.

(c) Kuweka Utaratibu maalum ambao wadau wote (ikiwemo Indegenous people) ambao kwa msingi wa Maisha yao, Maeneo yao, jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa. Kwamba jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa , bahari ,Strategic Economic Zone ambazo utekelezwaji wa IGA hii unaweza moja kwamoja kwa kwanjia zisizo za moja kuathiri maisha, Mila, itikadi za watu hawa ni (Wenyeji wa asili wa Maeneo ambayo mradi inayojumuishwa katika IGA –katika ukanda wa bahari na maziwa makuu.

(d) Ili kuondoa Utata uliopo Mahakama iamuru serikali kupitia Waziri mwenye dhamana kutoa IGA katika lugha ya Kiswahili na kuisambaza kwa wadau na wananchi wote pamoja na kuzingatia matakwa yote ya kisheria kwa mujibu wa Mikataba ya namna hii.

(e) Kuboresha Makubaliano ya IGA na kuweka bayana

i. Ukomo na mawanda ya Mradi na utekelezwaji wa shughuli zote
zilizokubaliwa katika mradi husika

ii. Kuweka kifungu cha kuongoza uvunjaji wa Mkataba.

iii. Kuondoa Vifungu vinavyoashiria umilele.

iv. Kuondoa Vifungu vyote ambavyo moja kwa moja au kwa matokeo yake vinaondoa Haki ya nchi ya umiliki wa raslimali (Sovereignty), haki ya nchi kufanya ushindani na fursa ya nchi kuruhusu wawekezaji wengine katika eneo la uwekezaji wa bandari.

v. Kuhakikisha Uzingatiwaji wa Sheria Zingine za Nchi na kuhakikisha kwamba Mkataba huu hauwi juu ya Katiba ya nchi, sheria za Ardhi na sheria zinazolinda raslimali asili za nchi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Hivi tuna mahakama hapa Tz inaweza kwenda kinyume na maamuzi ya chama chao? Sija wahi kuamini mahakama za Tz kwenye interest za Ccm
 
Hamtashinda ..trust me!!
 
Ndio uzur wa domokrasia

Ungeweka namb ya kumchangia wakil pesa ya wese+uchafuz wakat anaendelea na kesi
 
Aibu kabisa, kwa nn hawataki kusikiliza matakwa ya wananchi?

Kwanini wanataka kuwakatili watanzania? Watanzania wanachohoji kina mantiki kubwa sana!! Huu mkataba upewe muda wa marejeo!! Hakuna anayekataa DP World ila waweke mkataba unaoleweka!!

Kweli kwa dunia ya Leo utaingia mkataba wa nchi wa hovyo namna hiyo na watu wakae kimya tu? Hapana?

Pawepo na marejeo mkataba maana watanzania kwa miaka ijayo lazima kutakuwa na kilio na tayari itakuwa hamna namna ya kurudi nyuma!!

Hii nchi ni yetu wote, wanaongoza wamepewa dhamana ya watanzania ni sii kwamba wao ni tofauti sana!!
 
Back
Top Bottom