Pamoja na yote hata OCD anajua na atatajiwa akimuuliza.Umeambiwa na Mheshimiwa hapo kwamba umtaje aliyefanyiwa hicho kitendo ili iwe rahisi kumsaidia haki yake ipatikane, kama unaogopa kumtaja hadharani mtumie hata PM.
Hakuna ufuatiliaji chanya ndio maana habari zimefika hapa jukwaani kama malalamikoHao wabakaji wako wapi ?, KESI unaendelea ? .
Ninafanya jitihada za kupata namba za baba mzazi wa aliyefanyiwa ukatiliKweli, anitumie sms kwenye 0765345777 Ili turahisishe mambo kidigitali tuokoe muda wa ufuatiliaji
Mungu akubariki,unafanya kazi nzuri sana.Kuongoza ni kuonesha njia Kama unavyofanyaMhe Mkuu wa Mkoa amepokea anafuatilia. Tutapata mrejesho
Ukinisaidia kuniunganisha na walalamikaji itakuwa vema sana. Wakati huo, kwa taarifa hii, ngoja tuwasiliane na huko Tanga....
Mheshimiwa hongera sana umekuwa mfuatiliaji wa matatizo ya wananchi kila unapopata taarifa tena kwa haraka,Mungu akubariki sana.Ukinisaidia kuniunganisha na walalamikaji itakuwa vema sana. Wakati huo, kwa taarifa hii, ngoja tuwasiliane na huko Tanga.
Na pia imagine et ni mzaz ambaye baaadi maternity bado kabisaa..40 days huyu hata mfumo wake wa uzaz haujarud sawa sawa, unaanzaje kumtenda ukatil mkuu namna hii??Unajua kuna vitu vinaumiza sana mama wa mtoto wako unampeleka wakambake washikaji ili iweje sasa??. Kweli tatizo la afya ya akili bongo walitizame kwa makini kuna vichaa tunaishi nao.Serikali ianze kampeni ya watu kupima afya za akili zetu.
Na pia imagine et ni mzaz ambaye baaadi maternity bado kabisaa..40 days huyu hata mfumo wake wa uzaz haujarud sawa sawa, unaanzaje kumtenda ukatil mkuu namna hii??Unajua kuna vitu vinaumiza sana mama wa mtoto wako unampeleka wakambake washikaji ili iweje sasa??. Kweli tatizo la afya ya akili bongo walitizame kwa makini kuna vichaa tunaishi nao.Serikali ianze kampeni ya watu kupima afya za akili zetu.
Wewe nawe unamvunja nguvu Waziri unaanzishaje uzi wa jambo muhimu kama hilo huku huna details za muhusika au watu wake wa karibu! Waziri anataka details afuatilie unaleta danadana,toa ushirikiano kwa Waziri ili haki itendeke.Ninafanya jitihada za kupata namba za baba mzazi wa aliyefanyiwa ukatili
Mkuu zinafanyika jitihada. Elewatu hivyo.Wewe nawe unamvunja nguvu Waziri unaanzishaje uzi wa jambo muhimu kama hilo huku huna details za muhusika au watu wake wa karibu! Waziri anataka details afuatilie unaleta danadana,toa ushirikiano kwa Waziri ili haki itendeke.
Wanyonge wasaidiwe kupaza sautiTbh, matukio ya hivyo yako mengi sana Tanzania, swala ni kwamba watendwaji wanakosaga watu wa kuwapazia sauti. Mimi binafsi up to this age nishasikia kesi kama hayo si chini ya tano (5). Nashauri jamii iamke na tuanze kupaza sauti zetu ili haki za hao wasichana zisipotee bure. Tuanze na huyo wa Songe. Nadhani mama Gwajima yupo humu. Alione kwenye file Dkt. Gwajima D
Polisi ndio wanakua sehemu ya tatizo. Wananchi wakiona hakuna hatua zinazochukuliwa wanapiga moyo konde wabakietu na masahibu yaoMheshimiwa hongera sana umekuwa mfuatiliaji wa matatizo ya wananchi kila unapopata taarifa tena kwa haraka,Mungu akubariki sana.
Sema Waziri unaupiga mwingi sana. Ningependa nikuone kwenye uongozi siku zote hata Rais akiwa Mbowe wewe bado unafaa.Ukinisaidia kuniunganisha na walalamikaji itakuwa vema sana. Wakati huo, kwa taarifa hii, ngoja tuwasiliane na huko Tanga.
Akili vizazi mviringo!Ikiwa ya ndugu yako nitaipenda
We ndugu Rigidity nenda kacheki na mh waziri inbox...mpe taarifa zote muhimu! Utakuwa umesaidia sana kupatikana haki ya huyo binti! Fanya himaUkinisaidia kuniunganisha na walalamikaji itakuwa vema sana. Wakati huo, kwa taarifa hii, ngoja tuwasiliane na huko Tanga.
HAPA NAONA UMEANDIKA KWA CHUKI TU. YE MWAMPOSA ANA NAFASI GANI KIUONGOZI SIASANI? NA KWA NINI YEYE NDO AKEMEE? SI WAPO WATU WENGI TU WA KUWEZA KEMEA?Akina Mwamposa na wenzake badala wakemee haya mapepo kwenye madhabahu yao wao kila siku ni matamasha. Leo ya kuwasha mishumaa, kesho tochi za simu mara sijui komboa nyota. Vitu vya ujingaujinga tu mradi wapige hela. Haya mapepo ya ukatili yaliyoibuka ndo ya kudili nayo kama huo uwezo wanao
Mama wa nguvu Mungu akupe ujasiri zaidi kupambania raiaUkinisaidia kuniunganisha na walalamikaji itakuwa vema sana. Wakati huo, kwa taarifa hii, ngoja tuwasiliane na huko Tanga.