Sakata la Christina Shusho limenifunza mambo makuu 4

Umeeleza vyema Mkuu. Watu wengi ni weupe sana kwenye suala la ndoa hasa sheria ya ndoa. Wana stori za vijiweni sana na mazoea mabaya mdio maana hata wengi zinawatesa sana. Hawajui mfumo wa hiyo taasisi.

Nimeona andiko la msomi ngazi ya Phd Dr. Mauki anasema kuna sheria inasema "Siku 90 mwanamke na mwanaume wakiishi pamoja basi hiyo ni ndoa".

Siyo kweli.

Kuna wengine wanadai ni miezi 6. Siyo sahihi.

Sahihi kifungu cha 160 cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinatamka kwamba iwapo mwanamke na mwanaume wataishi pamoja kwa muda wa miaka miwili kama mke na mume na jamii ikawachukulia na kutafsiri kama mke na mume basi inadhaniwa kwamba wana ndoa".

Dhana ya ndoa maana yake ni ndoa ambayo ukweli na uhalisi wake unaweza ukapingwa.
 
Nimejisumbua kusoma thread zote nikitegemea kukutana na picha za mzigo angalau kula fahari ya macho lakini wapi nyie watoto hamna adabu.
 
Tangu lini mwanamke akawa muongoza ibada na akasimama madhabahuni kabisa, mwanamke kuwa mchungaji ni utapeli tu. Uyo shusho anadhihirisha kichwani hamna kitu mambo ya ndoa yake analeta mitandaoni anatafuta public sympathy?
Kama huyo ni mchungaji unahisi atawashauri nini wanawake wenzake kuhusu maisha ya ndoa?
 
Tatizo nililiona mapematu kwenye mahojiano.
Eti anaetaka mtoto aolewe ni mama. Sasa familia ambayo muamuzi wa mwisho ni mama unaweza kuoa mtu MKOROFI mkaendana? Maana mshauri wake nihuyo mama mkorofi
 
Hayo yote mwulize Diamondi, anayekula mizigo na kusaza.
Kwa Xtina upako ndo bye bye.
 
Mimi pia nilishangazwa sana na ni msomi wa PhD na anaiongelea ndoa kitu ambacho alikuwa na muda wa kutafiti.

Na watu wengi wanafikiri hiyo dhana ya ndoa inafanya kazi wakati wakkishi pamoja, kumbe dhana yenyewe ya ndoa inafanyakazi baada ya wao kutengana/kuachana.

Na inaweza isifanye kazi kabisa kama mmoja wao ana ndoa halali au kama wapo kwenye mahusiano ambayo yasingeruhusiwa na sheria yoyote kuyafanya mahusiano hayo yawe ndoa.

Mbaya zaidi, dhana yenyewe pia haina maana kama kwenye hayo mahusiano hawakupata mali pamoja.
 
Sawa kabisa
 
Christina Shusho alipata danga liko USA, alipogindulika ndoa ikavunjika, bahati mbaya baada ya kuachika na rafiki yake akimwibia danga, ndio habari ikaishia hapo
 
Labda mzee mashine haina network...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…