Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeeleza vyema Mkuu. Watu wengi ni weupe sana kwenye suala la ndoa hasa sheria ya ndoa. Wana stori za vijiweni sana na mazoea mabaya mdio maana hata wengi zinawatesa sana. Hawajui mfumo wa hiyo taasisi.
Picha mkuuSema ule mzigo dah
Huna mke ww....Kataa uvumilivu wa kijinga kwenye ndoa.
Kataa kutumia jina la Mungu kwenye upuuzi.
Kataa ujinga
Hayo yote mwulize Diamondi, anayekula mizigo na kusaza.NILICHOJIFUNZA KWA CHRITINA
Nimejifunza mambo haya kwenye hili
1. MAAMUZI SAHIHI AMEYAFANYA WAKATI USIO SAHIHI yapo maamuzi yanaweza kuwa sahihi ila yakafanyika wakati usio smawil Maamuzi sahihi yakifanyika wakati usio sahihi huwa yanaonekana si sahihi kwasababu yako nje ya wakati uliopaswa kuamua.
Yawezekana Christina alibaini kuwa ameozeshwa kwa mtu asiye sahihi lakini hakutaka kuipinga hiyo ndoa kwasababu kwa umri wa miaka 19 unao uwezo hata wa kukimbia au kutoroka au ukaenda kishingo upande ukaona hauna amani ukaachana nayo mapema kabla husogea sana hapo angeeleweka lakini maamuzi aliyoyafanya yanaweza kuwa sahihi lakini kwa wakati usio sahihi.
Kwa nini yeye ndiye anaongea sana kuliko mwanaume, kuna changamoto yawezekana yeye ndiye mwenye changamoto ila anatafuta huruma ya kuhalalisha alichokifanya awe sahihi.
2. YAWEZEKANA anafanya hivyo ili mzee Shushu amjipu ili apumue maana ana jaka la moyo anataka ajibiwe ili aone je anamlalamikia ana cha kujibu.
3. YAWEZEKANA kiburi cha mafanikio kumpeleka huko na muonekano wake umpeleke kwenye maisha anayoyaishi
4. YAWEZEKANA kuna changamoto za kifamilia zilishindwa kutatulika zikahatarisha usalama na hatma yake
Nimeshindwa kuwa upande wowote kwasababu sijui kwa kina kiini cha hiki siwezi kuhukumu nani mkosaji na nani
MAONI YANGU: CHRITINA achague kunyamaza maana kunyamaza kunailinda thamani yake na kuepusha mengi. Kuongea sana hakusaidia kwasababu kashaamua kuishi maisha mapya. Ayatazame maisha mapya yaliyoko aliyoyaamua aache kuongea
Kulalamika, kujilaumu au kuongea sana kwenye lile lilikuumiza haibadilishi matokeo. Yale tusiyoweza kutabadilisha tuyaache yawe sehemu ya simulizi za maisha yetu.
WAKATI MWINGINE MUOGOPE SANA MTU MKIYA yawezekana tunamuona mzee hana shida kwasababu ya ukimya wake ila yawezekana alikuwa mbaya kwa dada kuliko tumuonavyo
Wakati mwingine mtu anaonekanaye mkimya na mtaratibu huku nje huko ndani hafai. TUSIWAAMINI KWASABABU HAOWANGEI AU KWASABABU YA UKIMYA WALIONAO
UPO UKIMYA UUMIZAO NA ULIOFICHA MENGI MABAYA YASIONEKANA NJE
Ma Gwamaka
Mimi pia nilishangazwa sana na ni msomi wa PhD na anaiongelea ndoa kitu ambacho alikuwa na muda wa kutafiti.Nimeona andiko la msomi ngazi ya Phd Dr. Mauki anasema kuna sheria inasema "Siku 90 mwanamke na mwanaume wakiishi pamoja basi hiyo ni ndoa".
Siyo kweli.
Kuna wengine wanadai ni miezi 6. Siyo sahihi.
Sahihi kifungu cha 160 cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinatamka kwamba iwapo mwanamke na mwanaume wataishi pamoja kwa muda wa miaka miwili kama mke na mume na jamii ikawachukulia na kutafsiri kama mke na mume basi inadhaniwa kwamba wana ndoa".
Dhana ya ndoa maana yake ni ndoa ambayo ukweli na uhalisi wake unaweza ukapingwa.
Sawa kabisaMimi pia nilishangazwa sana na ni msomi wa PhD na anaiongelea ndoa kitu ambacho alikuwa na muda wa kutafiti.
Na watu wengi wanafikiri hiyo dhana ya ndoa inafanya kazi wakati wakkishi pamoja, kumbe dhana yenyewe ya ndoa inafanyakazi baada ya wao kutengana/kuachana.
Na inaweza isifanye kazi kabisa kama mmoja wao ana ndoa halali au kama wapo kwenye mahusiano ambayo yasingeruhusiwa na sheria yoyote kuyafanya mahusiano hayo yawe ndoa.
Mbaya zaidi, dhana yenyewe pia haina maana kama kwenye hayo mahusiano hawakupata mali pamoja.
Anawachunga malaya wenzieEti mchungaji,huyu anawachunga mafala
Ova
Eti mchungaji,naye anaupakoooAnawachunga malaya wenzie
Huyo hana upako ana gunduEti mchungaji,naye anaupakooo
Dunia ina mambo aise
Ova
Christina Shusho alipata danga liko USA, alipogindulika ndoa ikavunjika, bahati mbaya baada ya kuachika na rafiki yake akimwibia danga, ndio habari ikaishia hapoNILICHOJIFUNZA KWA CHRITINA
Nimejifunza mambo haya kwenye hili
1. MAAMUZI SAHIHI AMEYAFANYA WAKATI USIO SAHIHI yapo maamuzi yanaweza kuwa sahihi ila yakafanyika wakati usio smawil Maamuzi sahihi yakifanyika wakati usio sahihi huwa yanaonekana si sahihi kwasababu yako nje ya wakati uliopaswa kuamua.
Yawezekana Christina alibaini kuwa ameozeshwa kwa mtu asiye sahihi lakini hakutaka kuipinga hiyo ndoa kwasababu kwa umri wa miaka 19 unao uwezo hata wa kukimbia au kutoroka au ukaenda kishingo upande ukaona hauna amani ukaachana nayo mapema kabla husogea sana hapo angeeleweka lakini maamuzi aliyoyafanya yanaweza kuwa sahihi lakini kwa wakati usio sahihi.
Kwa nini yeye ndiye anaongea sana kuliko mwanaume, kuna changamoto yawezekana yeye ndiye mwenye changamoto ila anatafuta huruma ya kuhalalisha alichokifanya awe sahihi.
2. YAWEZEKANA anafanya hivyo ili mzee Shushu amjipu ili apumue maana ana jaka la moyo anataka ajibiwe ili aone je anamlalamikia ana cha kujibu.
3. YAWEZEKANA kiburi cha mafanikio kumpeleka huko na muonekano wake umpeleke kwenye maisha anayoyaishi
4. YAWEZEKANA kuna changamoto za kifamilia zilishindwa kutatulika zikahatarisha usalama na hatma yake
Nimeshindwa kuwa upande wowote kwasababu sijui kwa kina kiini cha hiki siwezi kuhukumu nani mkosaji na nani
MAONI YANGU: CHRITINA achague kunyamaza maana kunyamaza kunailinda thamani yake na kuepusha mengi. Kuongea sana hakusaidia kwasababu kashaamua kuishi maisha mapya. Ayatazame maisha mapya yaliyoko aliyoyaamua aache kuongea
Kulalamika, kujilaumu au kuongea sana kwenye lile lilikuumiza haibadilishi matokeo. Yale tusiyoweza kutabadilisha tuyaache yawe sehemu ya simulizi za maisha yetu.
WAKATI MWINGINE MUOGOPE SANA MTU MKIYA yawezekana tunamuona mzee hana shida kwasababu ya ukimya wake ila yawezekana alikuwa mbaya kwa dada kuliko tumuonavyo
Wakati mwingine mtu anaonekanaye mkimya na mtaratibu huku nje huko ndani hafai. TUSIWAAMINI KWASABABU HAOWANGEI AU KWASABABU YA UKIMYA WALIONAO
UPO UKIMYA UUMIZAO NA ULIOFICHA MENGI MABAYA YASIONEKANA NJE
Ma Gwamaka
huwa hawasomi ni wale wa kuoteshwa tu manabii kanjanjaMchungaji hana staha.
Anaongea sana.
Neno la Mungu analisoma saa ngapi ?
Mlio karibu naye mpeni ushauri.
hapana ni ChrisNi Tina tena.....😹