Sakata la Diddy limeonesha wengi wanachukia masuala ya ushoga

Kuwa shoga mchezo nini! Lazima uwe na mental issue.

Utasikia mbona mwanzilishi wa nini nini ni shoga mara tajiri gani ni shoga, kwamba we una akili kumzidi, I be like 🤔 hamjui utofauti wa kuwa na akili na kuwa na changamoto ya afya ya akili? (Mental issues)

Huwezi kukubali kuingiliwa kinyume na asili kama kuna fuse hazijakatika kichwani.
 
ko hata burna b anavyolilia 10k hujaona😂au hujaskia pia
Hakuna kitu kama icho ni uzushi tu! Hii ishu mi nimefatilia tokea mwanzo meek mill alipokuwa mhanga wa hizi tuhuma...ninachoona watu weusi sijui ni wivu au nn!? Tumechukua propaganda za wazungu na kumchafua mweusi mwenzetu sijui kwa faida ya nani?
 
Kuwa shoga mchezo nini! Lazima uwe na mental issue.

Utasikia mbona mwanzilishi wa nini nini ni shoga mara tajiri gani ni shoga, kwamba we una akili kumzidi, I be like 🤔 hamjui utofauti wa kuwa na akili na kuwa na changamoto ya afya ya akili? (Mental issues)

Huwezi kukubali kuingiliwa kinyume na asili kama kuna fuse hazijakatika kichwani.
Wale watu fuse huwa zimekata.
Ukikeni hawapo ukiumeni hawapo, wana dunia ya peke yao.

Wanaowafukunyua wana libido la hatari dadeki.
 
Kuwa shoga mchezo nini! Lazima uwe na mental issue.

Utasikia mbona mwanzilishi wa nini nini ni shoga mara tajiri gani ni shoga, kwamba we una akili kumzidi, I be like 🤔 hamjui utofauti wa kuwa na akili na kuwa na changamoto ya afya ya akili? (Mental issues)

Huwezi kukubali kuingiliwa kinyume na asili kama kuna fuse hazijakatika kichwani.
Kabisa mkuu!
Ni wagonjwa kichwani na chakusikitisha badala itafutwe tiba wapone inatumika nguvu kubwa kuharibu wengi na kujaribu ku normalize ila ndo hivyo hata wazungu wameshindwa kufanya kiwe kitu cha kawaida matokeo yake mashoga wengi wanaishia kujiua.

Hata anayewafanya wanaume wenzie pia kuna fyuzi zimekata the sec ameanza kuvutiwa na mwanaume mwenzie.Huwezi kuwa mentally okay ukadindisha kwa me mwenzio.HAIWEZEKANI.
 
Back
Top Bottom