Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona hiyo Avatar Yakohabari za majukumu wakuu.Hivi kweli wakuu tupeane code za kuhusu p didy.jana mida ya usiku nilikuwa online tiktok sasa nikakutana na clip ya kwanza ilikuwa inasikika sauti ya burna boy na didy kama jamaa anapelekewa moto.sijakaa vzr nikaona nyninge jamaa akiichambua hyo sauti na kusema burna boy alikuwa studio na didy wakiimba wimbo unaitwa take it back.sasa mbona kama mm sielew wakati sauti ilikuwa kama ya kunyanduliwa.Na kama nimekweli basi didy amedid.
clip ya 2 anaonekana na mtoto af kashika karatasi na anataja maj4na na mtoto anafutisha na mishwo anasema we did.NA ya mwisho alimshawishi jay z ili akamle mkewe beyonce kwa 200 bilion kwa usiku mmoja na jay z akakubali .