Sakata la Diddy limeonesha wengi wanachukia masuala ya ushoga

Sakata la Diddy limeonesha wengi wanachukia masuala ya ushoga

Lakini jamaa kasambaza sana upako, yaani kawamiminia mafuta ya kuwaweka wakfu wenzake🤣🤣🤣

Pdidy ni kuhani wa shetani yaani Samweli wa mafuta upande ea Lusifa🤣🤣
Imefika zamu yake sasa akifungwa huko jela watasaidia kuwalipia visasi.
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Sakata hili limerahisisha Sana kujua kuwa hata mashoga waliopo Duniani hawapendi kuwa vile walivyo isipokuwa kûna Ñguvu ya ziada zinawalazimisha kufanya Yale wanayoyafanya.

Mataifa Makubwa na Watu wengi wa Ulimwengu wa Kwanza wamekuwa Mstari wa mbele Kúpigania HAKI za mashoga lakini Sakata la Diddy limewakimbiza Mastaa wôte Duniani Kwa tàbia Zake.

Diddy mwenyewe hataki hata kuhusishwa na tàbia hizô.
Watu wake wôte wakaribu Wamemkimbia.

Hakuna anayetaka aibu. Nani aikubali fedheha ya kuhusishwa na mambo ya kishoga?

Siku zote nyeupe NI nyeupe. Ubaya NI ubaya. Haijawahi kutokea Mtu mwenye Akili timamu akajivunia ushoga. Mara nyingi na ukichunguza wanaosema waziwazi huwa hawapo timamu kisaikokojia na Kiakili. Wengi waô Wanatumia madawa ya kulevya àmbayo inawafanya Akili zào zisifanye Kazi.

Miaka kadhaa ikipita hujuta, na kuona kuwa Yale waliyokuwa wakiyafanya hayakuwa mambo mazuri. Walikuwa wamechanganyikiwa tuu.

NI Sawa na wale wanaojuta kuchora tattoo, Kutumia madawa ya kulevya miongoni mwa mambo mengine.

Ingawaje wàpo wanaosema ushoga ni tatizo la kihomoni na kimaumbile lakini Kwa Sisi wenye Elimu àmbayo haijaghushiwa tunajua ni uongo na utetezi wa hovyo.

Pia soma: Kesi ya Diddy: Hakimu azuia uamuzi wa Diddy kumlipa Derrick Cardello Smith Dollars 100 Million Kama alivyoamuliwa na Mahakama

Ukisoma comments za walimwengu hasa za nchi za Magharibi na Marekani utagundua kuwa Hakuna Mtu anayependa na kujivunia Ushoga. Siô wazungu Wala sio Waafrika, siô wachina Wala siô waarabu.

Ushoga na Ufiraji ni miongoni mwa Blackdeals Ambazo wengi hawataki kuhusishwa nazo hata kama wanazifanya Kwa sababu hata Siku Moja Huwezi ukapewa heshima Kwa kufanya Jambo Baya.

Jambo Baya NI baya tuu.
Huwezi shika kinyesi usinuke na usichafuke.

NI kama Fisadi, au ujambazi, au Mwizi, au Mchawi, au mfitinishaji. Yaani Mtu anaweza kuwa tajiri Kwa sababu ya ufisadi lakini Kamwe hawezi kujivunia ufisadi mbele za Watu. Na hata ukimwambia yeye NI Fisadi NI kwamba mnaweza kufikishana Mbali Kwa sababu ataona unamshushia heshima.

Ndivyo ilivyo Kwa mashoga,
Hata alipwe shilingi ngapi, kutetea ushoga utamwona Kabisa body language Yake inakataa yaani mdomo anasema hivi Mwili unasema vinginevyo.

Watakaoumia zaidi ni Watoto na kizazi chako.

Ubaya hauchafui tuu Mtu Bali unachafua Mpaka Eneo analotoka.
Siô ajabu Mtu akasema mambo ya Mombasa Hayo. Kisa kûna Watu Fulani walioharibu title ya Mji WA Mombasa. Hii imefanya hata àmbao hawahusiki na hizô Kesi kujikuta katika Wakati mgumu.

MTU mwenye Akili timamu hata kama anafanya Jambo Baya Kamwe hawezi kulitangaza. Kwa sababu anajua kuwa ubaya huo utatembea siô kwàke tuu Bali Mpaka Eneo àmbalo ametoka.

Ubaya Kamwe hauwezi kuwa Sifa Njema. Ndio maana Watu weñye Akili na wasiopenda jamii zào zichafuliwe humfukuza mwenye Sifa mbaya iliyopitiliza au kumuua Kabisa lakini kumuacha na kumlinda Mtu mwenye Sifa mbaya hupelekea ku-label jamii hiyo kama ndîo tàbia Yao.

Siô ajabu wazungu wanahusishwa na ushoga lakini siô ajabu jamii zingine zikawa na mashoga wengi wa Siri kuliko wazungu wènyewe.

Ubaya ukiachwa huwa utambulisho wa Mtu, jamii na Eneo alilotoka.
Mfano Mwingine ni Wanawake WA kichaga hasa wamachame kuhusishwa na Kuua au kutanguliza Waume zào baàda ya kupata Mali.
Hii huenda ilifanywa na Watu wachache kadhaa Huko uchaggani lakini mpaka Leo imeleta athari mbaya Kwa kizazi Hiki.

Mambo haya huwaathiri wale ambao hawafanyi na Hawana tàbia hizô kukosa kuaminiwa.

Hakuna Mtu atakubali amkaribishe Shoga au msagaji au mfiraji kwèñye familia yake akae na Watoto wake. Huyo mtu hayupo.
Sasa Mtu akisikia umetoka Mombasa hata kama Huna tàbia za kunyemelea tigo za Watu au Kutoa tigo Watu huogopa kukuacha na Watoto waô.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam.
d081fad5-c516-4678-826f-daec122d54b4.jpeg
 
Hiyo ya ukikeni haupo kiumeni haupo inawapa mateso sana.
Na yapo mengi yanawaumiza kisaikolojia ni hiyo basi tu wanajikaza ila ningekua na power ningewatafutia tiba.
Mwanzoni nilikua nawachukia sana ila sasa hivi huwa nawaonea huruma.SANA

Hata hao wanaowalala wenzao ni wagonjwa tu na wao.Hawako sawa.
Hata mimi nilikua nawachukia ila nikaja kujua nafanya matumizi mabaya ya chuki.
Haifai kuwachukia, wengi wao hawaopendi hiyo hali.

Ni ngumu kifanya kitu ambacho haiko proud of nacho. Mbaya ni ile kulegea kama mlenda aisee
 
Hakuna Mtu atakubali amkaribishe Shoga au msagaji au mfiraji kwèñye familia yake akae na Watoto wake. Huyo mtu hayupo.
Sasa Mtu akisikia umetoka Mombasa hata kama Huna tàbia za kunyemelea tigo za Watu au Kutoa tigo Watu huogopa kukuacha na Watoto waô.
Hakika umenena vyema...


Cc: Mahondaw
 
Hata mimi nilikua nawachukia ila nikaja kujua nafanya matumizi mabaya ya chuki.
Haifai kuwachukia, wengi wao hawaopendi hiyo hali.

Ni ngumu kifanya kitu ambacho haiko proud of nacho. Mbaya ni ile kulegea kama mlenda aisee
Kabisa mkuu.
Ni huruma sana
 
Diddy mwenyewe ni lishe tu ndio maana anakua na sherehe za lishe wenzie yaani Diddy ndie ananunua wahuni wampelekee moto pia..
 
Habari za majukumu wakuu.Hivi kweli wakuu tupeane code za kuhusu p didy.jana mida ya usiku nilikuwa online tiktok sasa nikakutana na clip ya kwanza ilikuwa inasikika sauti ya burna boy na didy kama jamaa anapelekewa moto.

Sijakaa vzr nikaona nyninge jamaa akiichambua hyo sauti na kusema burna boy alikuwa studio na didy wakiimba wimbo unaitwa take it back.

Sasa mbona kama mm sielew wakati sauti ilikuwa kama ya kunyanduliwa.Na kama nimekweli basi didy amedid.

clip ya 2 anaonekana na mtoto af kashika karatasi na anataja maj4na na mtoto anafutisha na mishwo anasema we did.

Na ya mwisho alimshawishi jay z ili akamle mkewe beyonce kwa 200 bilion kwa usiku mmoja na jay z akakubali .
 
Back
Top Bottom