Sakata la Diddy limeonesha wengi wanachukia masuala ya ushoga

Wale watu fuse huwa zimekata.
Ukikeni hawapo ukiumeni hawapo, wana dunia ya peke yao.

Wanaowafukunyua wana libido la hatari dadeki.
Hiyo ya ukikeni haupo kiumeni haupo inawapa mateso sana.
Na yapo mengi yanawaumiza kisaikolojia ni hiyo basi tu wanajikaza ila ningekua na power ningewatafutia tiba.
Mwanzoni nilikua nawachukia sana ila sasa hivi huwa nawaonea huruma.SANA

Hata hao wanaowalala wenzao ni wagonjwa tu na wao.Hawako sawa.
 
Diddy anaweza kuepukana na hili kama tu,walioguswa vinyeo hawakutoa taarifa means walifanywa willingly ama kuna jambo nyuma ya uchaguzi,
Ila kama amewagusa watu wengi kiasi hicho inabidi malaika wakaokote kuni wenyewe wamsaidie jamaa wa motoni
 
Sahihi kabisa mkuu! Kwa Mimi binafsi jinsi nilivyo selective hata kwa wanawake hivi, Kuna wanawake naweza lala nao kitanda kimoja lakini nisiwe na hisia nao kabisa sembuse mwanaume mwenzañgu?? Labda mpaka baadhi ya fuze zikate kwakwel!
 

Kama Huko marekani weñye michezo hiyo wanakimbiamo, hawataki hata kujihusisha na Kesi hizô lakini kûna WA huku ushumbwindi wanakuambia waô wanaiga wazungu au Watu WA magharibi
 
Hata hao America wenyewe hawataki kulisikia ila sijui sheria ya kulipitisha walitoa wapi, au iliwekwa ili ije kua kinga kwa wahanga kama huyu!!? Maana huyu kwa kosa la ushoga kwa nchi yao hana kesi, ila hayo ya unyanyasaji, madawa na pesa haramu ndio yatampeleka
 
Ebu nisaidie, P Diddy anashtakiwa kwa kosa/makosa gani?
 
Kwanza ile ni faragha ukute mabasha nao wanaenda na upepo wa Diddy Wanakataa hadharani wanafanyw/a kwa siri ili wapate magari mazuri wacha inyeshe tuone panapovuJa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…