Sakata la DP WORLD bado kizungumkuti, Mbunge Luhaga Mpina ahoji uhalali wa Mkataba Bungeni

Sakata la DP WORLD bado kizungumkuti, Mbunge Luhaga Mpina ahoji uhalali wa Mkataba Bungeni

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
"Mkataba wa bandari kati ya TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) na DP World hadi hivi sasa Waziri ameshindwa kueleza huyu DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi? Na anakwenda kuwekeza maeneo gani.

Kama tathimini imeshafanyika kuna shida gani kutueleza huyo DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi?

Na tathimini imefanywa na nani kuthibitisha mahitaji ya uwekezaji tunaoutaka" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
 
Jamaa ana akili , yaan ukisikia tofauti ya Education na Intelligence ndo hii.

Jamaa Si tu ana Elimu, la Hashaa , ana uelewa mkubwaa kwelikweli, anaongea Point mwanzo mwisho ,na huoni akijichanganya

Sisi wenye akili na wachapa kazi, Huwa tunachukiwa na wajinga, wapumbavu, wavivu na wazembe.

Lkn sisi Kwa sisi tunapendana na tunaelewana.
 
Back
Top Bottom