Sakata la DP WORLD bado kizungumkuti, Mbunge Luhaga Mpina ahoji uhalali wa Mkataba Bungeni

Sakata la DP WORLD bado kizungumkuti, Mbunge Luhaga Mpina ahoji uhalali wa Mkataba Bungeni

19 April 2024
Bogota, Colombia

Nchi za UAE na Colombia zasaini mikataba :

View: https://m.youtube.com/watch?v=vr8f4GIV-EY
Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, Rais wa nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE , na Mheshimiwa Gustavo Petro, Rais wa Colombia, wameshuhudia utiaji saini Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (CEPA) kati ya UAE na Colombia.

Mkataba huo ulitiwa saini na Dk Thani bin Ahmed Al Zeyoudi, Waziri wa Nchi wa Biashara ya Kigeni wa UAE, na Germán Umana Mendoza, Waziri wa Viwanda, Biashara na Utalii wa Colombia.

Mkataba huo unalenga kuimarisha mtiririko wa biashara baina ya nchi hizo mbili kwa kupunguza ushuru, kuondoa vikwazo na kuboresha upatikanaji wa soko kwa bidhaa na huduma zinazouzwa kati ya nchi hizo mbili.

Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (CEPA) ni hatua muhimu katika uhusiano wa UAE na Colombia, kwani biashara yao isiyo ya mafuta ya nchi mbili ilifikia dola milioni 553.1 mnamo 2023, ongezeko la rekodi la asilimia 43 ikilinganishwa na 2022 na zaidi ya mara mbili ya jumla iliyofikiwa mnamo 2021

Marais wa Colombia na UAE waliwatuma mawaziri kufanya shughuli huyo huku marais wakishuhudia kwa njia ya mtandao live / video conference
View: https://m.youtube.com/watch?v=8UHUueqo4Nk

UAE President witnesses signing of UAE-Colombia Comprehensive Economic Partnership Agreement


View: https://m.youtube.com/watch?v=KFJzpL0L3KY
His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, President of the United Arab Emirates, and His Excellency Gustavo Petro, President of Colombia, have witnessed the signing of a Comprehensive Economic Partnership Agreement (CEPA) between the UAE and Colombia.

The agreement was signed by Dr Thani bin Ahmed Al Zeyoudi, UAE Minister of State for Foreign Trade, and Germán Umana Mendoza, Minister of Industry, Commerce and Tourism for Colombia.
 
"Mkataba wa bandari kati ya TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) na DP World hadi hivi sasa Waziri ameshindwa kueleza huyu DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi? Na anakwenda kuwekeza maeneo gani.

Kama tathimini imeshafanyika kuna shida gani kutueleza huyo DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi?

Na tathimini imefanywa na nani kuthibitisha mahitaji ya uwekezaji tunaoutaka" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
Safi mpina
 
Ule ni mkataba wa kishetani utakaolaaniwa na vizazi vyote vya Tanganyika, huku architect wake akiwa Rais wa kwanza mwanamke.
 
Ule ni mkataba wa kishetani utakaolaaniwa na vizazi vyote vya Tanganyika, huku architect wake akiwa Rais wa kwanza mwanamke.
Huu muundo wa muungano usiporekebishwa ipo siku utatusababishia balaa la kutisha.
 
Kwenye video clips Huwa kuna vidada na baadhi ya wanaume mle bungeni wako standby kumzomea, aisee.

Nasemea moyoni kwamba wezi wa rasirimali za nchi ni wajanja na wamejua kutugawa vilivyo.
Ndiyo ujue bunge limejaa watu wajinga
 
Back
Top Bottom