Sakata la DP WORLD bado kizungumkuti, Mbunge Luhaga Mpina ahoji uhalali wa Mkataba Bungeni

Jamaa ana akili , yaan ukisikia tofauti ya Education na Intelligence ndo hii.

Jamaa Si tu ana Elimu, la Hashaa , ana uelewa mkubwaa kwelikweli, anaongea Point mwanzo mwisho ,na huoni akijichanganya

Sisi wenye akili na wachapa kazi, Huwa tunachukiwa na wajinga, wapumbavu, wavivu na wazembe.

Lkn sisi Kwa sisi tunapendana na tunaelewana.
Point noted
 
Lkn kumbuka akipewa uteuzi tu anakuwa zoba wa kupima samaki kwa rula
 
"Mkataba wa bandari kati ya TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) na DP World hadi hivi sasa Waziri ameshindwa kueleza huyu DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi? Na anakwenda kuwekeza maeneo gani.

Kama tathimini imeshafanyika kuna shida gani kutueleza huyo DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi?

Na tathimini imefanywa na nani kuthibitisha mahitaji ya uwekezaji tunaoutaka" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
maccm watamzimisha subiri tu
 
huyu jamaa anahitaji ulinzi wa watanzania wote. anawasemea watu wengi sana.
 
Umemchoka wewe Nani, acha kuunganisha wengine kwenye uzembe na uvivu wako wa kufikiri.

Mwenye akili huwezi kuchoka hoja za kitaifa Kama za Mpina.

Wapumbuvu kama nyie mnatia hasira sana
Mkuu ukute huyo naye kamaliza chuo lakin ndo hivyo.
Yan sijui nini kimelipata taifa kias kwamba mtu anajua ku log in jf lakin badala ya hoja andeal na mtoa hoja! Tunataraji aliyeko humu kuna mstari ameshavuka wa ujinga na upumbavu.
 
"Mkataba wa bandari kati ya TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) na DP World hadi hivi sasa Waziri ameshindwa kueleza huyu DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi? Na anakwenda kuwekeza maeneo gani.

Kama tathimini imeshafanyika kuna shida gani kutueleza huyo DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi?

Na tathimini imefanywa na nani kuthibitisha mahitaji ya uwekezaji tunaoutaka" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
Tunasubiri na ya uwanja wa ndege wa KIA !!
Luhaga shikilia na hii pia !
Kwakweli iko kazi !! 😱😱😱
 
Back
Top Bottom