Sakata la DP WORLD bado kizungumkuti, Mbunge Luhaga Mpina ahoji uhalali wa Mkataba Bungeni

"Mkataba wa bandari kati ya TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) na DP World hadi hivi sasa Waziri ameshindwa kueleza huyu DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi? Na anakwenda kuwekeza maeneo gani.
...
Mwekezaji haji na chochota ,lakini atondoka na mabillion ,alivyovuna kutoka shamba la bibi
 
Mbunge wa Kisesa mh Mpina amehoji Muwekezaji DP World amewekeza kiasi gani Bandarini?

Mlale Unono 😄
 
Mnhh.. huyu jamaa wamoto..
 
Bado hajawekeza ndio kwanza wamesain mkataba ili wawekeze. Wangewekeza kwa makubaliano yapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…