ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
RIP Magu leo ndio tarehe walisema ulikufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP Magu leo ndio tarehe walisema ulikufa
NimekuelewaHapo hatutamkosa dingi la madingi akiingia kwa jina la mbia pale jiko kuu la nchi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haya unayosema yafanyike nchi gani? Raisi aligundua kasainishwa mkataba mbovu, kawafanyaje waliofanya hivyo?Aiseee! Kuna siku tutatafuta mbia wa kuiendesha serikali maana tumeshashindwa kuiendesha bandari.
Ili bandari ifanye vizuri zaidi inatupasa kuachana na siasa kwenye uendeshaji wake Menejimenti ya Bandari iwekewe malengo na wasiingiliwe na serikali.
Kuwe na mkataba baina ya serikali na menejimentj ya TPA, iwapo watashindwa kufikia malengo yaliyowekwa kwa kila robo mwaka basi kibarua kinaota nyasi na iwapo kuna jinai sheria ichukue mkondo wake.
Nadhani tuanzie hapo.
Vv
Hii ndio sehemu ambayo waziri alipaswa kupimwa utandaji wake kwa kusimamia baandari. Ni Kama tunavyompima waziri wa nishati kwenye Tanesco. Ila. Ndio hivyoHii haipo sawa. Waziri husika na wataalamu wake Planners wa wizara wote kazi yao haswa ni nini? Mishahara ya mamilioni wanalipwa kwa ajili gani?. Kwamba nchi haina wataalam kabisa wa kuendesha bandari kwa ufanisi na tija?
Hata akija huyo CEO akikaa hapo atapigwa majungu hadi ataondoka mwenyewe, tumelaaniwaKatika hili sikubabliani naye kama ni kweli kwasababu huko nyuma, approach hii ilifeli kwa Tanesco na Air Tanzania na Mashirika mengine. Kitu ambacho ningekubaliana naye ni kupata CEO yeyote na kutoka popote duniani asimamie Bandari kama wamatumbi tumeshindwa. Si lazima awe mmatumbi akaishia kuweka wapwa zake na kuharibu kazi.
Tuwe na raisi Hadi mawaziri waingereza. Ila hawa kina mwigulu na January???? Alafu tunatemea maendeleomi naona si bandari tu bali tuwarudishe Waingeleza watusaidie kutuwekea mifumo mizuri kwa mkataba maalum wa miaka 5 tu, maeneo ya kuwakabidhi yawe ni:-
1. Utawala bora
2. Usafirishaji
3. Viwanda
4. Kilimo
5. Elimu
6. Majeshi.
7. Afya
Unaikumbuka Net Group Solutions?
Kwa hali ilivyo naunga mkono hili la kuleta mbia, yaani meli zinakaa nje kusubiri nafasi kwa siku 23! Nani ataleta meli zake DSM? Tena tumechelewa sana sana na ni aibu!Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?
Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.
Hata akija huyo CEO akikaa hapo atapigwa majungu hadi ataondoka mwenyewe, tumelaaniwa
Shida bado ipo pale pale, tuliwahi kufanya hivyo kwenye reli, shirika la ndege, Tanesco na bado kotr huko tulichemsha . Tena hayo yakifanyika kipindi tunasema raisi alikua na wataalamuKwa hali ilivyo naunga mkono hili la kuleta mbia, yaani meli zinakaa nje kusubiri nafasi kwa siku 23! Nani ataleta meli zake DSM? Tena tumechelewa sana sana na ni aibu!
Zumaridi yeye kama yeye hajui kitu,yupo tu hapo watu wanampa maelekezo,hivi rdhwani ni mtu wa kupewa uwaziri au katambi