Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
- Thread starter
- #261
Sio kweli, hili taifa tuna laana. MSI ni waholanzi na Ni kampuni kubwa ya kibeberu Ila si tulipigwa TTCL mchana kweupeNyakati zote ulizozitaja waliingia ubia na watu ambao hawakustahili ! Reli walipewa wahindi ambao watu wakasema ni wahindi wa kariakoo !! Yaani kwa muonekano wao tu walionekana kuwa ni choka mbaya ! Sasa hapo unategemea nini ? Unataka kuingia ubia watafuteni wale munaowaita mabeberu waje waongoze hiyo bandari uone itakavyokua, lakini ukawape watu kama Richmond ya umeme yule mhindi alikuwa na kiofisi cha internet pale kariakoo nyuma ya Keys Hotel eti ikasemekana ni kampuni ya kutoka marekani !! Salaalee!! Kwa kweli tunafanya utani na Nchi !! Ingieni ubia na mabeberu wanaotambulika kimataifa kazi itafanyika !!
Barrick nayo ni kampuni kubwa sana ila si unaona kwenye madini washatushinda.