Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

Kwamba kubembelezwa peke yake na kocha ndiyo kunaweza kutatua shida zake? Kocha nikama mzazi Kwa wachezaji wake
Wacha kujiliwaza, kocha wenu alishasema mambo hayaendi kiufundi bila Fei, sijui ulikuwa wapi..
 
Kwa hiyo siku ya j2 mpemba atakichafua pale kati?
 
Yaani Makolo badala kujadili kwanini Kiungo punda mzamiru analipwa million 3 wakati banda anakaa benchi analipwa milion 9.7 kuutwa kumfuatilia feitoto tu
 
Kitu pekee ulichoshindwa kuelewa mimi sizungumzii habari ya gazeti. Ndio maana comment yangu ya kwanza nika kwambiaje ungetenganisha habari ya kunukuu na maoni yako binafsi. Kama usingekurupuka hapo tusingefika huku.

Kuashiria wewe ni mbumbumbu wa mwisho umeanza kuni attack personally sasa kwa hali hiyo utaelewa nani zezeta [emoji23][emoji23]

Don't just comment because you have an electric device make sure your mental state is at easy. JF is educated young brother pull up ur sock bata we
 
Aisee acha kupoteza muda kuhusu hatima ya Toto ,Yanga you waste ur time
 
Kama huzungumzii habari ya gazeti, unazungumzia maoni yangu binafsi, basi kama ungekuwa na akili kidogo tu ungejua nina haki ya kutoa maoni yangu, na kujiamulia niyaweke wapi, bila kuingiliwa na kilaza yeyote kama wewe, bahati mbaya hili hujui, akili hazikutoshi..

Najua unaficha maumivu ya kile nilichoandika[emoji24][emoji24], polee... ewe mjinga, tambua huna mamlaka ya kuingilia uhuru wangu wa kutoa maoni, na wapi pakuyaweka[emoji850][emoji850], oky?

Ndio maana nimekwambia, wewe ni mjinga unaejiona mwerevu, na inawezekana hilo sio kosa lako, labda kwenu wote ni mazezeta isipokuwa wewe akili ndogo unaejua kusoma na kuandika jf, vipi, bado hunielewi?[emoji1787][emoji1787]🫣🫣
 
Sasa nyinyi madunduka pilipili ya shamba inawawashia nini? Yanga wameshamalizana na mchezaji wao povu mnatoka nyinyi 😂😂
 
Bado unaonesha immaturity. Unasema uhuru wa kuandika yes kila mtu ana uhuru wa kuandika ila hapa JF tunawarekebisha vimburukutu kama wewe msilete habari za upotoshaji kwa sababu JF sio facebook kwa hiyo usiseme tu tunawaingilia uhuru wenu wewe ulitaka uandike tu utumbo wako halafu tusiusafishe na ndio maana nilikwambia organize sources zako

Mimi mpaka hapa nimemaliza sitaweza kuendelea kukutoa ujinga uliojaza kama wewe mwenyewe ushabeba vya kurithi. Dogo kwenye hii mada nimemaliza ila nakusihi acha ujinga kubali kurekebishwa wewe sio roboti.
 
Kama umeshajua kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni inapendeza, huo ni ujinga wako wa kwanza unakiri nimekuondolea[emoji1787][emoji1787] na bora ukimbie kwasababu machozi unayotoa yatalowanisha server ya watu🫣🫣

Nimekumbuka wewe ndie ulikuwa miongoni mwa wale mawakili kanjanja wa jf mliodai Fei hana haki[emoji24][emoji24], hizi hasira zako nimejua chanzo chake[emoji1787][emoji1787] polee..
 
Your browser is not able to display this video.
 
Tafuta hela kwenye hiyo 350 M ya Fei hautapata hata buku. Upambe upambe wenzako wanapatia hela huo unaitwa ukunguni. Kwasababu chawa wote mjini wanalipwa we kunguni utaishia kunuka tu.
 
Tafuta hela kwenye hiyo 350 M ya Fei hautapata hata buku. Upambe upambe wenzako wanapatia hela huo unaitwa ukunguni. Kwasababu chawa wote mjini wanalipwa we kunguni utaishia kunuka tu.
Tatizo langu huwa nafumua kwenye mishono bila ganzi[emoji1787][emoji1787]
 
HABARI YA FEI NA YANGA, ZINASHABIKIWA SANA NA MBUMBUMBU FC NA WANAOJIITA WACHAMBUZI..!!
Tukikaa kimya mnaanza ooh wamemtelekeza Fei, tukiongea ooh mnashabikia[emoji1787][emoji1787]
 
Shida kubwa ya wewe mleta uzi unaandika ukiwa umehamaki na umepigwa butwaa inaonyesha kitendo cha fei kurudi yanga kimekuumiza isivyo kawaida na ni tofauti na marajio yako au matamanio yako, ulitakiwa kuleta hoja juu ya hicho ulichotuletea badala yake tunaona tu mara uto mara ooh mkataba mpya. Hayo mambo yako ungepeleka Instagram huko ndiko watu huandika bila sense jamii forum tunahitaji mtu atakaye tuletea habari za kueleweka sio huo unazi maandazi uliotuandikia.
 
Nashindwa kabisa kukuelewa kwani we jinsia gani? kichwa cha habari umesema sakata la fei toto ukweli umejulikana unakuja tena kwenye maelezo yako ya pili unasema ipo siku ukweli utajulikana!! Hivi unajielewa wewe? what a bogus, harafu unasema waende shule wakasome we shule ipi umetuonyesha hapo hata kujenga hoja hujui au ndio hizo degree za elimu kwa wote unazidisplay humu? Feisal aongeze mkataba yanga unaumia wewe mpaka unakuja JF kuonyesha maumivu yako yaani watu tujue umeumia, watu kama wewe huishia kuumwa vidonda vya tumbo, sonona na pressure maana umejaa husda na wivu wa mambo yasiyokuhusu.
 
Achana na yanga pamba na simba yenu
Siju ni kipi kinawaumiza sana hawa Dunduka fc,ni kwamba wanamuonea huruma sana dogo kuliko wazazi walomzaa?,au ni ile performance yake ndo wanataka ikosekane pale kwetu,yes tunamuhitaji kwasababu hakuna mwenye performance yake nchi hii kwa wote iwe ametoka nje au wa ndani kwa timu zote,na ndo maana tulishakuwa na mazungumzo nae tangu kabla ya yy kuvunja mkataba ila dogo alihisi hatutaweza kufika dau aliloahidiwa kule kwingine that's why hakuwa anarespond kukaa mezani na uongozi hadi alipoamua kuvunja mkataba bila kufuata sheria,na kipengele cha kuvunja mkataba bila maridhiano katikati ya msimu hakipo,Fei alitakiwa asubir msimu huu uishe ndo avunje mkataba,Dunduka hilo hawalijui wao wanakomaa kusema kaonewa na bla bla kibao,unadhani hao wanasheria wake walishindwa kwenda CAS? na ilhali wao ndo walipambana na Morison?,ishu ya Morison ilikuwa nyepesi kuliko hii ya fei ndo maana wameamua kunyoosha mikono juu baada ya kupata maoni hadi ya wanasheria wa nje wanaojua masuala ya soka vizur,unadhani mwanasheria anakibali kirahisi kuacha pesa kirahisi hivyo?,wangeshinda hii kesi ya fei wangepiga pesa ndefu na pia wangejenga majina zaidi kwa wanasoka wengine wa ndani,acha wapige kelele wakidhani fei kaonewa ila wanasheria wanajua nje ndani,waendelee kumsikiliza yule bint Kazumari akidanganya kwa kuichukia kwake Young Africans
 
Kitendo cha Fei kurudi Yanga kiniumize vipi wakati mimi ndie nilikuwa nasisitiza yeye ndie mwenye haki na sio Yanga SC waliobebwa na TFF kwenye maamuzi?

Ikiwa kapewa mkataba mpya, kwangu hiyo ndio haki yenyewe kwake, na kinaonesha wazi Yanga Sc hawajui mambo ya mikataba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…