Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

Hili gazeti loote shida nini[emoji1787][emoji1787] au dogo Fei kuwachuchumalisha🫣🫣
 
Habari ikufikie popote ulipo ni kwamba yanga wamemoigia fei magoti na wamempa anachokitaka. Na jumapili atakuwa jukwaani kuwacheka mnabopigwa na madhembe kuwaaminisha kwamba ameshamalizana na yanga.
 
Wenye busara walichotaka ni mchezaji kujua ni mwajiriwa, arudi kwa mwajiri wake akaombe anachotaka, mwajiri aseme anachoweza, maisha yaendelee. Kuamka asubuhi na kusema nimevunja mkataba haipo popote katika ulimwengu wa soka. Kama Yanga wangefanya hivyo kwa Feisal tunhewapiga mawe kama tulivyofanya kwa Feisal. Dejan alisema anajiondoa Simba na hakudai kitu, Simba wakaangalia potentiality yake wakasema kuvuja kwa pakacha nafuu ya mvuvi. Lakini Dejan anhekuwa na impact Simba wasingemwacha azurure huko umwerani.
 
Huna relevant evidence we ni roporopo tu wa mihemko, unahemkwa na mapenzi yako ya vilabu vya kariakoo
 
Watanzania wengi ni wapuuzi na hatupendani wenyewe kwa wenyewe walijua yule ming'iniza midomo atawasaidia kumbe hamna kitu kazi kurembua tu

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wengi ni wapuuzi na hatupendani wenyewe kwa wenyewe walijua yule ming'iniza midomo atawasaidia kumbe hamna kitu kazi kurembua tu

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Huna grounds, kawapende kwanza akina shabalala pale kwenu na ukaulize wanalipwa bei gani ndio uje hapa na ushuzi wako.
 
Hap suala sio mwajiriwa kurudi kwa mwajiri na kuomba, hapa suala lililopo ni mkataba unasema nini.. full stop.
 
Huna relevant evidence we ni roporopo tu wa mihemko, unahemkwa na mapenzi yako ya vilabu vya kariakoo
Tatizo lenu hampendi magazeti mpaka pale yatakapowasifia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watanzania wengi ni wapuuzi na hatupendani wenyewe kwa wenyewe walijua yule ming'iniza midomo atawasaidia kumbe hamna kitu kazi kurembua tu

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Wamekuwa wakali balaa.. wanaendelea kumlipa mshahara mfanyakazi asiyeenda kazini, Fei ni mkubwa zaidi ya utopolo wote.
 
Hiki ndicho kilichobakia msimu huu, maana kwa Sportpesa tayari kumebuma. Endeleeni kukomaa na swala la Feisal wakati Yanga inaendelea kuchanja mbuga kutimiza malengo yao ya msimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…