Siju ni kipi kinawaumiza sana hawa Dunduka fc,ni kwamba wanamuonea huruma sana dogo kuliko wazazi walomzaa?,au ni ile performance yake ndo wanataka ikosekane pale kwetu,yes tunamuhitaji kwasababu hakuna mwenye performance yake nchi hii kwa wote iwe ametoka nje au wa ndani kwa timu zote,na ndo maana tulishakuwa na mazungumzo nae tangu kabla ya yy kuvunja mkataba ila dogo alihisi hatutaweza kufika dau aliloahidiwa kule kwingine that's why hakuwa anarespond kukaa mezani na uongozi hadi alipoamua kuvunja mkataba bila kufuata sheria,na kipengele cha kuvunja mkataba bila maridhiano katikati ya msimu hakipo,Fei alitakiwa asubir msimu huu uishe ndo avunje mkataba,Dunduka hilo hawalijui wao wanakomaa kusema kaonewa na bla bla kibao,unadhani hao wanasheria wake walishindwa kwenda CAS? na ilhali wao ndo walipambana na Morison?,ishu ya Morison ilikuwa nyepesi kuliko hii ya fei ndo maana wameamua kunyoosha mikono juu baada ya kupata maoni hadi ya wanasheria wa nje wanaojua masuala ya soka vizur,unadhani mwanasheria anakibali kirahisi kuacha pesa kirahisi hivyo?,wangeshinda hii kesi ya fei wangepiga pesa ndefu na pia wangejenga majina zaidi kwa wanasoka wengine wa ndani,acha wapige kelele wakidhani fei kaonewa ila wanasheria wanajua nje ndani,waendelee kumsikiliza yule bint Kazumari akidanganya kwa kuichukia kwake Young Africans