Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

Hivi kweli watu tunaamini kuwa Yule dada kazalishwa na Gwajima?
Mm nlivomsikia amesema walikuwa wanafanya mapenzi chini ya madhabau(eti kuna vyumba kama tisa)ndo nkaamin ni muongo..
Ata kama ni nabii wa uongo huwez fanya mapenzi kanisan lazima utatafuta chimbo la mbali
 
Kumpa kashfa gwajima hakuondoi ukweli kwamba "Makonda" alifoji vyeti. Tusubiri kesi yake itakayofunguliwa kesho mahakamani.
 
Hili li nchi linakoelekea siyo kuzuri. Wananchi waliowengi sasa hawawazi maendeleo bali mambo ya hovyo hovyo kutokana na utawala wa hovyo hovyo.
 
Gwaji alikua anapiga show chini ya madhabahu, huku juu mapambio yanaimbwa.
Atoe vyeti kama anavyo

Mwenzie kazaa yeye anatoa mapovu na upepo

Asipoacha tabia anayoifanya na wakuu mbalimbali siku mavi yatakua yanamshuka bahati yake anaendaga Afrika kusini kupigwa bomba angekua kashaoza nyuma

Na mkewe anamvumilia tuu sababu ya ukuu wake na mali bila hivyo angerudi kwao Rwanda ina faida gani kuishi na mwanamke mwenzio ndani
 
Mimba yenyewe sasa ya mwaka 1 na miezi 4, kina dada muwe makini mnapotaka kutusingizia
 
Mfano hayo unaniambia mimi, unadhani nitakasirika ili hali najua ni uongo!
Mwambieni Gwaji akanushe hajui papuchi ya yule mama.
 
Hilo la kubaka endapo una vielelezo peleka kwenye vyombo vya sheria ili sheria ichukue mkondo wake huna haja ya kutoa povu.
Kama toka moyoni mwako waona Gwajima si mtumishi wa kweli wa Mungu, wewe ambae UNA imani ya kweli piga magoti umuombee, usiwe kama Mafarisayo.
 
Umekurupuka mambo yako wazi sasa... Video ya Makonda akiingia Clouds na askari ipo hewani
 
umeona mange alivyomuumbua soudy brown...!!na kasema atawaumbua clouds wotee

Mange amesheshaomba radhi kwa soudy brown...kapost na video ni kwamba soudy alilazimishwa kuzitoa zile video sababu alikataa kuzirusha kwenye kipindi chake(pakiwa na maaskari pembeni)
 
yule aliesema anapenda kile kipindi ilkua ni namna ya kuwafanya watz waweke attention huko ili waone skendo ya yule mchungaji nn?[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Gwajima akimshambulia Makonda mnashangilia, mashambulizi yakijibiwa mnalalamika ?!
Tunashangilia mashambulizi yenye asilimia nyingi za ukweli , Hayo ya Bashite ni ulimbukeni na kutapatapa tu.Tena ndiyo yanadhihirisha kwamba kweli in mtupu wa kila kitu kitaaluma.Sijuwi ataishia wapi maana naona wapambe wake anazidi kutibuana nao.
 
Mange amesheshaomba radhi kwa soudy brown...kapost na video ni kwamba soudy alilazimishwa kuzitoa zile video sababu alikataa kuzirusha kwenye kipindi chake(pakiwa na maaskari pembeni)
ndo nimeona hatari kubwaa

hivi why magu anashindwa kutake actions against this man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…