South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,143
Nasubiri mkuu huyo dada hakoseagiSubili kubwa la maadui MANGE KIMAMBI anaandaa kombola lao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri mkuu huyo dada hakoseagiSubili kubwa la maadui MANGE KIMAMBI anaandaa kombola lao!
Mm nlivomsikia amesema walikuwa wanafanya mapenzi chini ya madhabau(eti kuna vyumba kama tisa)ndo nkaamin ni muongo..Hivi kweli watu tunaamini kuwa Yule dada kazalishwa na Gwajima?
Atoe vyeti kama anavyoGwaji alikua anapiga show chini ya madhabahu, huku juu mapambio yanaimbwa.
Mfano hayo unaniambia mimi, unadhani nitakasirika ili hali najua ni uongo!Atoe vyeti kama anavyo
Mwenzie kazaa yeye anatoa mapovu na upepo
Asipoacha tabia anayoifanya na wakuu mbalimbali siku mavi yatakua yanamshuka bahati yake anaendaga Afrika kusini kupigwa bomba angekua kashaoza nyuma
Na mkewe anamvumilia tuu sababu ya ukuu wake na mali bila hivyo angerudi kwao Rwanda ina faida gani kuishi na mwanamke mwenzio ndani
Hilo la kubaka endapo una vielelezo peleka kwenye vyombo vya sheria ili sheria ichukue mkondo wake huna haja ya kutoa povu.Usiwe mwehu na wewe, Gwajima si mtumishi wa Mungu bali ni tapeli tu anayesingizia kazi ya Mungu huku nyuma anafanya unyama. Gwajima inabidi awe jela, ana maovu mengi sana ayatendayo. Alimbaka Flora Mbasha na huyu dada wa jana, na wengine wengi tu watakuja kulalamika. Aliwadanganya watoto wa kaka yake mwaka jana kuwa atamfufua baba yao (kaka yake), mpaka leo holaaaaa, zile dawa za kufufua misukule yake zimekwisha nguvu mpaka arudi Nigeria kuongeza nguvu za giza.
umeona mange alivyomuumbua soudy brown...!!na kasema atawaumbua clouds woteeMovie limebumaaaaaa
Sterling kafia kwenye maua
Umekurupuka mambo yako wazi sasa... Video ya Makonda akiingia Clouds na askari ipo hewaniWana jamvi wenzangu
Nimekaa toka jana jion nikifikilia kwanin mtumish wa mungu anaweza kufanya maovu ya namna ile ya kumzalisha mwanamke haraf kumtelekeza huku akijua kabisa yeye ni moja ya mtumish wa mungu ambae anatakiwa kuongoza waumin waweze kufwata njia sahihi na kuepuka ya ulimwengun lakin kabla ya kuweka jibu la kutaka kumchukia gwajima nimekaa nimefikilia haya ndo nikapata jibu...
-kwanin yule mama ahojiwe kwa crip tu zirushwe mitandaon bila kutafutwa gwajima nae akahojiwa kwa crip pia zikarushwa mitandaon.?
-yule mama kuenda kuhojiwa uhuru fm na sio clouds fm ambako ndo chanzo cha hizo crip..?
-kwanin makonda ana kashfa ya kuenda na wafuas wake clouds usiku na kuzichukua hizo crip..?
-niwajuavyo clouds wana tabia ya kuhoji pand mbili na kuweka hizo video/sauti katika redio yao au tv yao zikinzane..?
-rais yang kipenz kupenda kipind cha ushilawadu si uchiz huu mana mzee wang kijijin kule hawez penda ujinga kama ule..?
-sherehe ya mwaka mmoja wa makonda kuoneshwa tbc pekee na sio tena clouds kwamba alichokwa na hao ndgu au..?
-nijuavyo wachungaj weng wana watto wa nje lakin wako makin kuwalea ili wasiharibu taswira zao iwe kwa gwajima ambae anajua muda wote yupo katika vita..?
Conclusion; mwana sisiem mwenzang unatumia nguvu nying sana katika kitu kidogo mno ambacho mpaka sasa ungekuwa ushamaliza na unaendelea na kazi au kurud mtaan kuungana na sis wenzio hapa lumumba street.
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
umeona mange alivyomuumbua soudy brown...!!na kasema atawaumbua clouds wotee
Hebu nisaidie link madamumeona mange alivyomuumbua soudy brown...!!na kasema atawaumbua clouds wotee
Tunashangilia mashambulizi yenye asilimia nyingi za ukweli , Hayo ya Bashite ni ulimbukeni na kutapatapa tu.Tena ndiyo yanadhihirisha kwamba kweli in mtupu wa kila kitu kitaaluma.Sijuwi ataishia wapi maana naona wapambe wake anazidi kutibuana nao.Gwajima akimshambulia Makonda mnashangilia, mashambulizi yakijibiwa mnalalamika ?!
sijuagi hayo ya link wangu namna ya kuunganisha ningekupa ubuyuHebu nisaidie link madam
Hii sasa kali sud nae kaumbuliwa
Sasa mbona bashite kaumbuka? Kume move kalitengeneza mwenyewe! Hakika nasema Bashite ni laana.Gwajima akimshambulia Makonda mnashangilia, mashambulizi yakijibiwa mnalalamika ?!
ndo nimeona hatari kubwaaMange amesheshaomba radhi kwa soudy brown...kapost na video ni kwamba soudy alilazimishwa kuzitoa zile video sababu alikataa kuzirusha kwenye kipindi chake(pakiwa na maaskari pembeni)