Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

Mapadre wenyewe wana watoto sembuse mchungaji? Hata kama ni kweli huyo mama amerubuniwa atumiwe kisiasa na mr. Zero a.k.a Bashite. OVA
 
Hata kadi ya clinic ina dosari ikague vizuri haina namba ya kadi,kituo,jina la nesi,nk mwandiko wa kiume
 
Kumbe hata wachungaji wa kiporestanti wanaruhusiwa kuzaa nje ya ndoa
 
Yani Hadi raha the more Makufuli anamkumbatia Bashite the more maovu yake yanazidi kujulikana
Angejiuzuru kwa vyeti feki,hata habari za magari, Dudu kuto perform, kujihudisha na madawa, ujasusi alioufanya clouds Wa Gwajima etc vyote visingejulikana
Kweli fa fa fa fa fa at work
 
Inaonekana unajua mengi sana kuhusu Gwajima. Sasa unasubiri nini kuisaidia polisi wamkamate huyu mhalifu!
 
patam aysee Muvi yenye mastelingi zaid ya mmoja hahaaaaaa
 
Kweli fa fa fa fa fa wako wengi hata humu jf

Mi sijawai kumwaminu Gwajima hata siku moja lakini kwenye hili,kasingiziwa, yule aliandaliwa na kina bashite, na ndio maana Clouds walikataa kuirusha hiyo habari, lakini bashite na maaskari walivamia clouds 17th March SAA 22:45 usiku,wakawanyang'anya hiyo clip na kuisambaza mitandaoni
 
Mfalme Daud aliingiwa na tamaa akamtamani mke wa uria na kuzini nae na akamfanyia figisu uria auliwe kwenye vita na ikawa hivyo......


[emoji216] Simtetei Gwajima ila Dhambi ya mtu ni Mungu pekee anaepaswa kuhoji wala sio mimi na wewe......

[emoji267] Swali kwako ni mara ngapi umetenda dhambi????? lkn bado Mungu anakupa nafasi ya pili.........

[emoji276] Usitazame kibanzi kwa jirani jihoji wewe kwanza kabla ya kwenda kwa jirani


Muvi iache iendeleee tuko kipande cha pili bado vipande mia ivi .....
 
Hata ile card ya clinic kama una akili ukiiangalia tu unajua Hamna kitu

Na mwandiko ni ule ule ulioandika list ya watuhumiwa Wa madawa ndio huohuo ulioandika kadi ya clinic tehe tehe tehe

Mtoto hana alafu anajifanya anajua kujaza kadi ya clinic,makosa kibao hajui hata kuijaza
 
Tuonyeshe vyeti ikiwa wengine wanakamatwa bashite VP Jana kaenda bunduki clauds kapeleka propaganda kaumbuliwa kweli chizinichizi tu bashite onyesha vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…