Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,724
- 1,693
Mapadre wenyewe wana watoto sembuse mchungaji? Hata kama ni kweli huyo mama amerubuniwa atumiwe kisiasa na mr. Zero a.k.a Bashite. OVA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakapime DNA, hapo ndio mwisho wa mchezo.Hivi kweli watu tunaamini kuwa Yule dada kazalishwa na Gwajima?
Hahahahaaaaaaaaaaa amewashikaGwajima akimshambulia Makonda mnashangilia, mashambulizi yakijibiwa mnalalamika ?!
Inaonekana unajua mengi sana kuhusu Gwajima. Sasa unasubiri nini kuisaidia polisi wamkamate huyu mhalifu!Usiwe mwehu na wewe, Gwajima si mtumishi wa Mungu bali ni tapeli tu anayesingizia kazi ya Mungu huku nyuma anafanya unyama. Gwajima inabidi awe jela, ana maovu mengi sana ayatendayo. Alimbaka Flora Mbasha na huyu dada wa jana, na wengine wengi tu watakuja kulalamika. Aliwadanganya watoto wa kaka yake mwaka jana kuwa atamfufua baba yao (kaka yake), mpaka leo holaaaaa, zile dawa za kufufua misukule yake zimekwisha nguvu mpaka arudi Nigeria kuongeza nguvu za giza.
Hana aonyeshe nini sasaCheti cha form four kinakufanya uwe mwehu kiasi hichi kitoe tu Mr Bashite
Wanaruhusiwa? Na nani?Kumbe hata wachungaji wa kiporestanti wanaruhusiwa kuzaa nje ya ndoa
Yaani we ni punga kabisaTumeshazoea kwa CHADEMA kuwatetea wahalifu. Endeleeni na kazi hiyo. Sisi tunajenga nchi
Heheee nimeona....umeona mange alivyomuumbua soudy brown...!!na kasema atawaumbua clouds wotee
Mnajenga nchi kwa kuvamia ofisi za watu kwa mitutu? Ajuza mchawi weeeTumeshazoea kwa CHADEMA kuwatetea wahalifu. Endeleeni na kazi hiyo. Sisi tunajenga nchi