Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

Gwajima akimshambulia Makonda mnashangilia, mashambulizi yakijibiwa mnalalamika ?!
Gwajima kaambiwa kazaa nje ya ndoa sawa tumekubali na mtoto tumemwona....atawajibishwa kwa kanuni za Manisa lake

Sasa cheti tunataka cheti tukione kama tulivomwona mtoto wa Gwajima.
 
Hao ndio BAVICHA na Kamisa lao bwana hawaambii ktu ss mtu kama hyu anakuswalishaje jamani kama Elimu ya dini hauna sibora ukakaa tu nyumbani
 
Kama nguvu za giza ndizo zimemfichua Bashite. Safi sana Mzee Gwajima. Endelea..........
 
Zote ni hoja.
Makonda lete cheti cha form 4
Gwajima lete majibu ya DNA Test
 
chet
 
Ukituhumiwa kufoji Cheti ni Uhalifu. Ukituhumiwa kumiliki Mali zinazozidi kipato chako halali ni uhalifu. Ukituhumiwa magari ya watuhumiwa wa kuuza/kula unga kuwepo nyumba ni kwako ni Uhalifu, kukosa Uadilifu na uaminifu. Nitasema kweli daima Fit in a Na uongo kwangu Mwiko.
 
-yule mama kuenda kuhojiwa uhuru fm na sio clouds fm ambako ndo chanzo cha hizo crip..?

-kwanin makonda ana kashfa ya kuenda na wafuas wake clouds usiku na kuzichukua hizo crip..?

Crip ndio nini?
Mwambie basi Gwajima akapime DNA halafu awashitaki shilawadu kwa kumchafua
 
Waliopata zero miaka ile walikuwa hawapewi vyeti. Labda siku hizi DIVISION FIVE wanapewa.

Ndio maana anazua vituko kila uchwao.....badala kutoa cheti anajua ndio mwisho wake!! Anatapa tapa haswaaaa
Sasa yeye aonyeshe kipi? Cha Paul Christian?
 
Hiyo DNA ikapimiwe wapi?
Gwajima ameshawaibu kuwa yeye mwanaume anazalisha!!! Makonda anaweza kuzalisha??? Anaemtuma ana watoto kila mtaaa hadi ma HG wake alizaa nao!!! Sas Shida kwake asie na uwezo wa kuzalisha mwanamke.....anatoa pofuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…