Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika!
Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa ambayo hata wanaotengeza filamu za Tbc Safari chanel wangeweza kuitengeza kwa ubora zaidi ya huo.
Mnabana pua na kusifia mabepari waliogharamia safari ya watu zaidi ya mia kwenda kukaa USA kwa wiki mbili. Huku hamjiulizi chambi zao zitarudi vipi?
Mnakuwa makuwadi wa mabebari lakini Mdee kuwepo Bungeni akivuta posho na mshahara kinawauma. Thisi is totally nonsense.