Sakata la Halima Mdee na Wenzake ni fundisho tosha kwa ambao hawana uchungu na taifa lao. Ikipendeza wapiga kazi mpaka 2025

Sakata la Halima Mdee na Wenzake ni fundisho tosha kwa ambao hawana uchungu na taifa lao. Ikipendeza wapiga kazi mpaka 2025

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika!

Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa ambayo hata wanaotengeza filamu za Tbc Safari chanel wangeweza kuitengeza kwa ubora zaidi ya huo.

Mnabana pua na kusifia mabepari waliogharamia safari ya watu zaidi ya mia kwenda kukaa USA kwa wiki mbili. Huku hamjiulizi chambi zao zitarudi vipi?

Mnakuwa makuwadi wa mabebari lakini Mdee kuwepo Bungeni akivuta posho na mshahara kinawauma. Thisi is totally nonsense.
 
Dah... Inasikitisha Sana... Tena unaweza kukuta mwanaume mzima kwenye heshima zake...anaacha mambo ya msingi...anakimbilia mambo ya kike 🤣🤣🤣🤣🤣🤭
 
Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika...

Unaongea Nini?. Mbona suala royal tour limeongelewa Sana mpaka msemaji mkuu wa serikali akadai sio pesa za serikali Bali ni pesa za michango ya wafanyabiashara.

Kuhusu suala la kina Halima mdee sio suala la posho, maana wajinga ndio waliwao bali ni suala la kufuata katiba. Kama ni pesa mbona zinaliwa Sana.
 
Dah... Inasikitisha Sana... Tena unaweza kukuta mwanaume mzima kwenye heshima zake...anaacha mambo ya msingi...anakimbilia mambo ya kike 🤣🤣🤣🤣🤣🤭

Kesho mke wako akikuchoma kisu asishtakiwe kisa ni mwanamke?. Uvunjifu wa sheria hauwangalii Cha mwanamke.
 
Ufafanuzi wako ni duni sana.

Wako ndio una nguvu?. Unalaumu Jambo ambalo limetolewa ufafanuzi ili kubariki Jambo la dhurma. Kama msemaji anadanganya hilo ni lake lakini mimi narely kwenye taarifa yake. Dhurma haitetetewi kwa dhurma.
 
Kuwalipa kina Mdee Ni kuhalalisha matumizi mabaya ya pesa za umma. Ule Ni zaidi ya ufisadi.Mahakama inapotumika kulinda wizi na uvunjaji wa taratibu inaumiza sana
aisee inapofika watananchi wanakua hawana imani na serikali yao mambo yanajiendea ovyoovyo then kila mtu atatafuta kula kulingana na kamba yake
 
Back
Top Bottom