Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

ukila cha watu upo tyr kukitumikia?
 
Leo umeongea kama great thinker hasa. Nimesoma mstari kwa mstari sijaona yale mambo yako pendwa yanayokera sana.
 
Hiyo ya hamas ni mpango uliosukwa na US na Israel ule.

Anataka kuingizwa mtu chaka hapo. Mpaka sasa kastuka. presha inazidi.
una matatizo ya akili ? kwamba hamas ss hv wanawatumikia US na israel na sio wapalestina ?
 
una matatizo ya akili ? kwamba hamas ss hv wanawatumikia US na israel na sio wapalestina ?
Hapana, Hamas linatumika jina tu, kama lilivyotumika jina Al Qaeda, wanauliwa huko ni Wapalestina.
 
Hapa Sasa umeandika kikubwa na kuonesha weledi mkubwa. Keep it up madame. Achana na mada zenye mirengo ya kidini. Kwani walio wepesi kichwani ndiyo hupendelea sana mambo yq kidini
 
Watu wachaache ka nchi kao hata mkoa wa tabora mkubwa wanawajambisha waarabu wote na kobazi zao. Lebanon magaidi walitaka kurusha makombora kwenda Israel imeenda B-2 "wamepigwa mambo" hata hazijaruka.😁

Waarabu kiboko yao ni Israel tuu ndio anajua kuwapelekea moto yani kuwakaza.
 
Katika nchi ambayo marekan ikiamua kuipiga dakika tano ni nyingi ni saudi arabi.
 
Yaani atafutwe Saudia kupigwa na kuuliwa wauliwe Wapalestina! Sidhani kama unaweza kufanyika ujinga kama huo.
Halafu watu msijifanye mna akili nyingi na ujuwaji wakati mabumunda tu.
 
So unaunga mkono upumbavu aliofanya MBS wa kumuua mtu kwa kumkata kata vipande? Maana ugomvi wa Marekani na na yeye unaanzia hapo. Halafu siku huyo mtu wako anafanikiwa kuwa mfalme wa Saudia, hakuna rangi wenzake hawataiona. Maana japo wenzake ni madikteta ila wanatafuta consensus. Hana tofauti na Xi.
 
Hizo ni fake news Israel akubali national security yake iwe mchezo hapana wadanganyeni wengine.

America hi ya sasa aguse Saud Arabia si ndio itakuwa anajichimbia kaburi.

Juzi tu wanajeshi wa America wameshushwa Saud Arabia karibu 10,000 kwa kuhofia Iran na Yemen.


View: https://youtu.be/JYWYpveCFY8?si=iBI_vR7mWZRDbH95
MBS kabadilisha Saud Arabia imekuwa kama nchi za Western aje atolewe na US haiwezekani si kweli.

Hao Western wamefurahi kuona Saud Arabia kuregeza katika dini na hicho ndio wanakitaka
 
Hana cha National Security, Israel ni mke waliyeambiwa kaa hapa akakaa. Hana kauli mbele ya mumewe.

Hiyo siyo "news" hiyo ni 'analysis" ya FaizaFoxy.

Unafikiri kila unachokiona kwenye mtandao ni "news"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hana cha National Security, Israel ni mke waliyeambiwa kaa hapa akakaa. Hana kauli mbele ya mumewe.
Kweli lakini si vile tena, haya nieleze vipi America anaitafuta Saud Arabia wakati kila kitu anapata kutoka kwa Saud Arabia na hao askari 10,000 siwatakua chambo kutoka Iran, Turkey na Yemen na mataifa mengi tu ya kislam.

Amerika acheze na Saud Arabia kwa urafiki tu zaidi ya hapo America hawezi kupigana na mataifa ya kislam.
 
palestina mwenyewe njaa kali anapewa misaada,hivyo viwanja ajenge wapi..sana sana atafanya kuwa center ya magaidi Tz mwishowe Israel ailipue bure.
 
Usisahau Iran amemaliza matatizo ya kidiplomasia na Saudia
Hivyo asa hivi wamerudisha ushirikiano wa kidplomasia kiujumla.
Iran haitaacha kuiona Saudia inaguswa.
 
hizo stori wanapigwa watoto gaza mmebana pumbu hakuna taifa la kiarabu linalopeleka msaada halafu mnasema wamoja.Gaza inakuwa majivu,Usicheze na wazayuni.
 
kwanza unajua huyo MBS anaasili ya Uzayuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…