Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

Sasa unaweza kumuweka mwanasheria kilaza kama Jerry Silaa na chuma cha pua Dickson Matata
 
Huko Mbezi Africana, Salasala na maeneo jirani kuna mtandao mkubwa wa watu kuvamia na kupora ardhi na kughushi nyaraka.
Waziri analijua hilo.
Kuna watu wamekufa kwa kupoteza ardhi zao kwa matapeli hao wa ardhi.
Hao wadhulumishi hawanaga wasi na mahakama kabisa wanajua kucheza napo

Ova
 
Watanzan
Huyo wakili amelipwa pesa, anatoa jasho na mishipa, anatetea uovu. Nchi hii imejaa wahuni tupu, ambao wanakutapeli wanaleta mawakili waongo kama huyu. Aende mahakamani sasa.
 
Nimemsikiliza vizuri wakili

Nimegundua vitu vifuatavyo
Kwanza kuna mtandao wa utapeli wa viwanja ambao huyo mahururu na huyo Mwanajeshi anayesema ni chake na hiyo kampuni na maafisa ardhi wakiotoa offer ni sehemu ya mtandao wa utapeli huo

Pili ninegundua kuwa kuna ugomvi wa matapeli na maafisa ardhi ,kisa cha kesi hizi nyingi ni kudhulumiana hela au viwanja.Huyo Mahururu inaonyesha wakikubaliana kitu na maafisa ardhi anawadhulumu viwe viwanja au pesa inaelekea kadhulumu sana kwa kujitia mjanja wa mjini wa utanifanya nini kwenda huko.

Tatu hicho kiwanja ghorofa lilipomolewa sio chake Mahururu hana hati ya wizara ya ardhi yenye jina lake.Hivyo sio chake kisheria

Nne hana kibali cha ujenzi chenye jina lake yeye Mahururu. Kibali cha ujenzi hakisomi jina lake sababu hana hati ya hicho kiwanja

Kifupi ukisikiliza wakili anavyoongea tu unaona kabisa anahangaika kutetea tapeli.kuanxia macho anavyoongea hsdi posture .Anajua kabisa hiyo issue utapeli mtupu
 
Tapeli wa ardhi unampeleka mahakamani????
Huko utazungushwa hata miaka 50 bila bila
Wapigaji wa ardhi wao mahakamani wala hawana wasi napo.....

Ova
Nimewahi shindana nao sana washenzi hawa, Nguzo yao kubwa huwa ni title deed, wakiletwa kwenye historia ya eneo huwa wanakwama by 100%, mara nyingi husaidiwa na wanasheria kununua eneo la wizi, ( IFIKE PAHALA WANASHERIA WANAOSAIDIA WIZI AU UTAPELI WAADHIBIWE KAMA WAHALIFU WOWOTE WALE)
 
Hao wadhulumishi hawanaga wasi na mahakama kabisa wanajua kucheza napo

Ova
Matajiri huwa hawakai karibu na masikini kukwepa mazingira ya wivu, fitna, majungu, uchawi, masikini huwa anaamini tajiri hana utajiri wa halali, au mali ya halali, anaamini kuwa masikini, basi uko sahihi kwa kila kitu, na huwezi kudhulumu.

Wengi wakishatoboa kimaisha wanahama uswekeni, wanaenda uzunguni
 
Utapeli huu ni chain ndefu, tapeli, wakili pengine akapewa wrong infos, maafisa ardhi, na pengine mpaka kwa kamishna kabisa!
 
UVCCM mmejipanga pamoja na chawa wa ukonga kumtetea mtu wenu wa hovyo. Hapa anagongwa misumari ya haki, na inamuingia vizuriiii
 
Anayo hatimiliki? Mbona swali unakwepa?
 
Hao wadhulumishi hawanaga wasi na mahakama kabisa wanajua kucheza napo

Ova
Kuna jamaa hapo ana vijana wengi wa mtaani anawatuma kavamie pale anawasaidia kughushi nyaraka.
Anawaambia akijitokeza mwenyewe akileta documents tu wanatumia mwanya huo kwenda kutengeneza zao wanafanya 'back date'.
Kisha dogo aliyevamia anamuuzia huyo jamaa tapeli kubwa wakati kesi inaendelea anakuja kujenga.
Kama mmiliki halali ulijenga chochote wanakuja kuvunja na mabaunsa.

Hao watu wanajulikana sana, kipindi cha Magufuli baadhi waliitwa kitengo cha kufutilia nyaraka za kughushi wengi wakakimbilia mafichoni mikoani na kubadili simu.

Mleta mada huenda hajui au anafanya siasa kitu ambacho ni hatari. Ipo siku litamtokea yeye au nduguye tukio la kuvamiwa eneo lake au nyumba kabisa atakuja kuilalamikia serikali haifanyi kazi.
 
Mimi najiuliza! Huyo aliebomolewa havioni viwanja visivyo na mgogoro? Mbona viwanja vyake vingi vina kesi! Shida iko wapi?
 
Tapeli akiitaka hati huipata hata kwa wiki mbili tu, utapeli ni chains.....
Mwenye haki halali utasotea sana.
[Land history matters, huu utaratibu nani alipata hati mwanzo unachochea wizi maana matapeli wapo fasta×100 zaidi katika kupata hati.]
 
Hebu lala huko mapinga ufuge kuku zako za broiler
 
Hebu lala huko mapinga ufuge kuku zako za broiler
Acheni siasa kwenye jambo baya kama hili.
Yapo mengi tu ya kumkosoa Jerry Slaa au serikali au CCM au Mh. Samia lakini siyo hili la kusitisha uvamixi na utapeli wa ardhi.
 
Hebu lala huko mapinga ufuge kuku zako za broiler
Huko Mapinga, Kerege hakufai sitaki eneo hata bure.
Nimepoteza hekari kadhaa wahusika viongozi wa serikali za mtaa/Kijiji na matapeli walikuwa wafanyakazi wa zamani wa ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…