babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kwa umri wangu, inamaana umecheza mpira kabla ya mwaka 70, sasa unataka Dunia, iendelee na mpira wa kimaskini kama enzi zako unachezea timu yako ya wapuuzi, huku wavue mashati, huku wavae.
Mtu ukiingia na kiatu, una ambiwa vua utatuumiza wenzio.
Ndugu yangu sasa hivi mpira umendelea, isitoshe ni ajira, siyo ridhaa tena kama enzi zenu
Mkuu kwanza umekula?Una tabia na akili za kimaskini
Umaskini wangu upo palepale ila mungu yupo anasaidia kokote nilipo.