Sakata la jezi feki mhusika anaogopwa ,serikali imeshindwa kumtaja vilabu vimeshindwa kumtaja ,polisi tutajieni huyo mtu ninani?

Sakata la jezi feki mhusika anaogopwa ,serikali imeshindwa kumtaja vilabu vimeshindwa kumtaja ,polisi tutajieni huyo mtu ninani?

Kwa umri wangu, inamaana umecheza mpira kabla ya mwaka 70, sasa unataka Dunia, iendelee na mpira wa kimaskini kama enzi zako unachezea timu yako ya wapuuzi, huku wavue mashati, huku wavae.

Mtu ukiingia na kiatu, una ambiwa vua utatuumiza wenzio.
Ndugu yangu sasa hivi mpira umendelea, isitoshe ni ajira, siyo ridhaa tena kama enzi zenu
Una tabia na akili za kimaskini
Mkuu kwanza umekula?
Umaskini wangu upo palepale ila mungu yupo anasaidia kokote nilipo.
 
Usiwahukumu kwenye hili ,kwani hakuna ushahidi wala uthibitisho isipokuwa dhana tu.
Huo ushahidi utautoa wapi. Ushahidi pekee Ni hizo nyaraka za uagizaji na mwagizaji mwenyewe.
 
Tunataka maendeleo afu magendo, wizi, na kuwaficha watu waovu kama hao unafanyika live live. Hapo lazima watakua na uhusiano na maswala ya utawala. Angekua mtu wa chini aisee angekoma.
 
Back
Top Bottom