babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kwa umri wangu, inamaana umecheza mpira kabla ya mwaka 70, sasa unataka Dunia, iendelee na mpira wa kimaskini kama enzi zako unachezea timu yako ya wapuuzi, huku wavue mashati, huku wavae.
Mtu ukiingia na kiatu, una ambiwa vua utatuumiza wenzio.
Ndugu yangu sasa hivi mpira umendelea, isitoshe ni ajira, siyo ridhaa tena kama enzi zenu
Mkuu kwanza umekula?Una tabia na akili za kimaskini
Usikute mama anamlindaAhsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Huo ushahidi utautoa wapi. Ushahidi pekee Ni hizo nyaraka za uagizaji na mwagizaji mwenyewe.Usiwahukumu kwenye hili ,kwani hakuna ushahidi wala uthibitisho isipokuwa dhana tu.
Deep state!Kama ni kweli wameshindwa kumtaja kutokana na wadhifa wake au umaarufu wake basi nadiriki kusema serikali imekamatwa na majambazi.
Utashikishwa ukutaMkuu kwanza umekula?
Umaskini wangu upo palepale ila mungu yupo anasaidia kokote nilipo.
Nikiwa nimemshikisha ukuta baba yako maybe.Utashikishwa ukuta
Kumbe huna hata mtoto? Hata wa kusingiziwa? Au wewe mwenyewe mtoto wa watu?Kwani wewe ni mama? wewe ni bibi
Tetetete nikose mtoto mi mgumba? acha zakoKumbe huna hata mtoto? Hata wa kusingiziwa? Au wewe mwenyewe mtoto wa watu?
mama'ko pia unamwita ajuza? Au yeye bado anadai?