Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha


Huo nao ni uongo tuu hakuna hicho kitu
 
Mwendazake aliminya uhuru wa habari alifikiri itamsaidia, Matokeo yake ndiyo haya, Zitto aliwahi sema jamaa alikuwa mshamba sana wa Madaraka.
 
Hii nchi watu wachache wanakula mema ya nchi ☹️☹️wee ngoja ni suala la muda na sisi tunaenda kula nchi mda si mrefu🚶🚶🚶
 
Jamani msimshutumu sana bwana katoto.

Huenda labda hizo pesa ni mshahara wake, alimake mdogo mdogo mpaka kufikia hiyo $ 1.6 bn.
hahahaaaaaa!!!

Hizi hela haiwezekani akakutwa nazo nyumbani tena cash huu ni uongo kabisa na muda utaongea, huyu mtu ana makosa lakini hicho kiasi ni uongo mtupu.
 
Nilichojifunza ni kwamba sasa hivi hata Billion 3 ni wizi mkubwaaaa!!!! . Enzi zile za kubeba pesa za Escrow kwenye sandalusi, EPA wizi wa Billioni 20 vilikuwa ni vijisenti vya mboga.

Hii ni ishara kwamba nchi yetu inakwenda vizuri. Ni imani yangu tutafika pazuri zaidi.

Asante rais Magufuli kwa kutuachia misingi imara kama taifa.
 
Hii habari inafikirisha sana, bilion 3 cash ndani, haya sawa.

Jamani kama kuna fisadi humu ama ndugu wa fisadi waambieni watumwagie hiyo mipesa sisi wanyonge kamata kamata ndio ishaanza ivoooo.
 
Kiasi kinanakshiwa kwa fedha za kigeni $$$ hawasemi thamani yake in Tsh..

Tuwaache TAKUKURU wafanye kazi yao ya uchunguzi.
 
Aliyekua Mkurugenzi wa mamlaka ya bandari, aliyesimamishwa kazi, injinia Kakoko amepekuliwa nyumbani kwake na polisi na TAKUKURU na kukutwa na begi kubwa lenye pesa za kimarekani 1,625,800.
 
Mkuu hizo pesa kukutwa nazo nyumbani usishangae ni nyingi kwetu sie hohehae lakn kwao ni peanut.kwa dollar 100 bills hiyo pesa inakaa uzuri kabisa kwenye briefcase.

Pili inaweza kuwa pesa iliyokamatwa ni Ile tunaita ' Hamad kibindoni' Ile pesa inayoweza kumfaa wakati wa dharula.

Hiyo jamaa anaweza kuwa na pesa nyingi kwenye mabenki ya ndani na nje
 
TANROADS syndicate ilitafuna nchi sana kwa msaada wa MATAGA.

wao wakilipwa vocha tu wanakuja kuharisha sifa kwenye social networks.

Ilihitaji mtu mwenye akili ndogo sana kuamini kama nchi ilikuwa haichezewi na hii syndicate kutoka TANROADS.

Kwanini uteuzi wowote kwenye key position mteuliwa alitoka TANROADS?
 
Nina uhakika jamaa hakosi banda la mbwa angezitia kwenye ndoo ndogo akazifungia ndani ya banda la mmbwa😁
Wale uwa kama wanga, kuna kipindi wazee wa kazi walikuja chunguza nyumba ya jamaa flani mtaani alikuwa jambazi, walikuta kaficha bastola kwenye tairi la gari liko vzuri la ring imewekwa yani kama spare tyre. Sijui uwa wanajuaje na walikuwa wajeda enzo za Marehemu Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…