Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tunasafari ndefu.
View attachment 1738279
Hiyo ni kama 3.7 Billion Tshs to be exact.
Halafu kuna watu wanasema ufisadi uliisha awamu ya tano. Haukumalizwa bali ni watu wachache walijimilikisha mianya ya pesa kwa kukingiwa kifua na ikulu.
Siku ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma utakapopigwa vita kwa vitendo na kwa nguvu zote ndo nchi itasonga mbele.
Hii nchi watu wachache wanakula mema ya nchi ☹️☹️wee ngoja ni suala la muda na sisi tunaenda kula nchi mda si mrefu🚶🚶🚶Bado tunasafari ndefu.
View attachment 1738279
Hiyo ni kama 3.7 Billion Tshs to be exact.
Halafu kuna watu wanasema ufisadi uliisha awamu ya tano. Haukumalizwa bali ni watu wachache walijimilikisha mianya ya pesa kwa kukingiwa kifua na ikulu.
Siku ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma utakapopigwa vita kwa vitendo na kwa nguvu zote ndo nchi itasonga mbele.
Amazing, 1.6$ M cash?
Hahaha zilikua chini ya godoro kumbe"Bahamas ya home kwake"......
Jamani msimshutumu sana bwana katoto.
Huenda labda hizo pesa ni mshahara wake, alimake mdogo mdogo mpaka kufikia hiyo $ 1.6 bn.
hahahaaaaaa!!!
Mkuu hizo pesa kukutwa nazo nyumbani usishangae ni nyingi kwetu sie hohehae lakn kwao ni peanut.kwa dollar 100 bills hiyo pesa inakaa uzuri kabisa kwenye briefcase.Sikatai kuwa hawakupiga,kila awamu watu waliokuwa kwa Inner Circle walikuwa wanapiga pesa. Shida yangu ni hapo pa kukutwa na kiasi hicho cha pesa Cash ndani.
Hata kama walikuwa na “ushamba” kama usemavyo wewe,but si kwa kiwango hicho. Mtu atumbuliwe baada ya masaa 24 ndiyo TAKUKURU waende kupekuwa nyumbani kwake wakute kiasi chote hicho cha pesa? Ni ngumu kuamini.
Nitamshangaa sana kama kweli hicho kiasi cha fedha zilizotajwa alikua nazo nyumbani......Hiyo habari ya kukamatwa kwa Kakoko ipo kwenye gazeti la mwananchi
Mererani Napo unaweza kukuta kuna upigaji piaWaweke tu masoja kusimamia kama pale Mererani
TANROADS syndicate ilitafuna nchi sana kwa msaada wa MATAGA.Huyu jamaaa na afungwe tu alifanya bandari Kama mradi wake yeye na marehemu.
Bado na yule ndyamukama wa airport ni watu wezi Sana walijiona wao ndio wao kwa kuwa walifanya kazi pamoja na mhutu mwenzao walipokuwa tanroads.
Mama Samia anatakiwa kudeal nao Sana Hawa wahutu wa jiwe ambao aliwapa madaraka
Wale uwa kama wanga, kuna kipindi wazee wa kazi walikuja chunguza nyumba ya jamaa flani mtaani alikuwa jambazi, walikuta kaficha bastola kwenye tairi la gari liko vzuri la ring imewekwa yani kama spare tyre. Sijui uwa wanajuaje na walikuwa wajeda enzo za Marehemu Mkapa.Nina uhakika jamaa hakosi banda la mbwa angezitia kwenye ndoo ndogo akazifungia ndani ya banda la mmbwa😁