shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
View attachment 1738385
Kamuulize Magu kaburini ChatoHII INANIKUMBUSHA NDOO ZA PESA NYUMBANI KWA MASAMAKI CHANIKA. ILE KESI ILIISHIA WAPI?????
Pummbu wanaminywa wauza unga.majambazi na vibaka.huyu hata kofi hapigwi na polisi ndio watamletea chakula huko seroPale wale wenye gloves zenye nundu nundu wakikuchukua wakakupeleka kwenye chumba chenye sindano za kupitisha kwenye njia ya kutolea mkojo na virungu vya mbao vya kugongewa pumbu ndo utaelewa kwann hukutakiwa kuwepo nchini. Ukishakamatwa bora useme kabla hujaingizwa kwenye kile chumba. Unless wewe ni komando umefundishwa kuhimili maumivu.
UTATAJA KILA KITU.
Majizi yapo kila idara. Rais tusaidie kupambana nao.
Mitano tenqNaumia sana nikicheki mwizi wa kalamu amejirudikia kitita cha fedha wakati me kupata elfu 10 kwa wiki nzima inanitoa jasho au saa zingine nisiipate,viongozi wa Tanzania kuweni na huruma kwa binadamu wezenu, Tulifukuza wazungu kwa lengo la unyonyaji leo hii tunanyongeana mkate wetu sote
Angefanya utaratibu wa kuzificha wapi kwa mfano ?Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!
Mie nahisi zilichotwa wakati wa Magufuli, na alikuwa ana kinga flani sasa Magufuli amefariki watu wamemchoma.
Ufisadi uko kila awamu sema watu wanalindana tu.
Somethings are not right here.Tutayaona na kusikia mengi awamu hii.
Ila BOT si wanazijua account za watu wenye mitonyo mirefu! Au alikua kaficha Bahamas!?
Bila kigogo ungejuaje kama marehemu anaumwa au anatumia betriKigogo/Chahali ha ha ha. Mtu anasema nimesoma mahali, kumbe porojo za kina Kigogo[emoji3][emoji3]
Hata hivyo Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa (anakotokea Majaliwa) na chato zinatakiwa kufanyiwa special auditing kuanzia mwaka 2015-2021. Kuna shida kubwa huko.
Najua bado unaamini Magufuli pia yuko hai na hana haja ya kujitokezaI will be the last to believe this bull shit!
Hujui masamaki aliachiwa Kwa sababu anatoka Kanda pendwa???HII INANIKUMBUSHA NDOO ZA PESA NYUMBANI KWA MASAMAKI CHANIKA. ILE KESI ILIISHIA WAPI?????
Kuishinda tamaa ndo shughuli tena ya pesaPale bandarini ukiwa mtu wa tamaa lazima uibe tu.Pale ni mlango wa pesa zinapoingilia.
Alitakiwa afanyaje kwa mfano? Let's assume ni kweli umekwapua 1.6mil usd, unafanyaje nazo?Who does that in this day and age?
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.