Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Nendeni kwa mkurugenzi wa nssf ana ATM card ya kutolea dolar nje ya nchi aliyopewa kutokana na lile jengo la karibu na mlimani city, yeye na mkurugenzi wa utumishi na alokuwa mkurugenzi uwekezaji.
Kigogo pachimbe hapo utapata credit nyingine
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.

View attachment 1738385
 
Naumia sana nikicheki mwizi wa kalamu amejirudikia kitita cha fedha wakati me kupata elfu 10 kwa wiki nzima inanitoa jasho au saa zingine nisiipate,viongozi wa Tanzania kuweni na huruma kwa binadamu wezenu, Tulifukuza wazungu kwa lengo la unyonyaji leo hii tunanyongeana mkate wetu sote
 
Pale wale wenye gloves zenye nundu nundu wakikuchukua wakakupeleka kwenye chumba chenye sindano za kupitisha kwenye njia ya kutolea mkojo na virungu vya mbao vya kugongewa pumbu ndo utaelewa kwann hukutakiwa kuwepo nchini. Ukishakamatwa bora useme kabla hujaingizwa kwenye kile chumba. Unless wewe ni komando umefundishwa kuhimili maumivu.

UTATAJA KILA KITU.
Pummbu wanaminywa wauza unga.majambazi na vibaka.huyu hata kofi hapigwi na polisi ndio watamletea chakula huko sero
 
Naumia sana nikicheki mwizi wa kalamu amejirudikia kitita cha fedha wakati me kupata elfu 10 kwa wiki nzima inanitoa jasho au saa zingine nisiipate,viongozi wa Tanzania kuweni na huruma kwa binadamu wezenu, Tulifukuza wazungu kwa lengo la unyonyaji leo hii tunanyongeana mkate wetu sote
Mitano tenq
 
Huyu alijifanya mtu wa sheria kama alivyokua meko, akiwa meneja wa tanroad arusha jk alifungua hotel ya snow krest nadhani kwa ngulelo baada ya wiki akaenda kuvunja ukuta akidai anatekeleza sheria, watu walipigwa bumbuwazi
Mie nahisi zilichotwa wakati wa Magufuli, na alikuwa ana kinga flani sasa Magufuli amefariki watu wamemchoma.

Ufisadi uko kila awamu sema watu wanalindana tu.
 
Very true, waangalie miradi ktk wilaya hizo kama kulikua na baraka ktk bajeti iliyopitishwa na bunge
Hata hivyo Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa (anakotokea Majaliwa) na chato zinatakiwa kufanyiwa special auditing kuanzia mwaka 2015-2021. Kuna shida kubwa huko.
 
Duuh aisee.....mwenye buku anisaidie hapo ninywe chai....nitarudi kucomment
 
Back
Top Bottom