Sasa atasababisha wenzake wazimwage barabarani kwa kiwewe , maana wakiweka ndani moto wakipeleka benki hatari, watatembea nazo kwenye V8 mpaka wapagawe.
🤣🤣🤣 Namshangaa huyo kibaka wa bandari.Huo mguno veepee?
DuhNendeni kwa mkurugenzi wa nssf ana ATM card ya kutolea dolar nje ya nchi aliyopewa kutokana na lile jengo la karibu na mlimani city, yeye na mkurugenzi wa utumishi na alokuwa mkurugenzi uwekezaji.
Kigogo pachimbe hapo utapata credit nyingine
Naamini atakuwa amesoma kwenye gazeti na msemaji wa TAKUKURU kathibitisha. Au?
Kwahiyo ulikuwa unafurahia kugawana pesa za DHULMA?Heri enzi za JK zilipigwa zikaingia mtaani hawa kina jiwes and company zimepigwa hata mifupa inaishia juu kwa juu,wananchi uambulia harufu tu.
Uchumi wa Kati ni kwenye matumbo yao.
K
umbe,,,lakini hawa wa sasa siwalijipambanua kuwa wamekuja kuukomesha huo ujizi wa watu walio Pita?.Wao si walikuwa kwenye Wakati wa watakatifu,,kila jambo lao walikuwa wakimtanguliza Mungu?,,,Tujadili.Let we Be patient. Some things take time.
We told you about your friend Jiwe , you didn't believe , now there's a proof beyond reasonable doubt he was not clean as he seemed to be , this man is one of his right hand best friend .Who does that in this day and age?
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.
Basi usiwe unaguna hivyo. Ushaniletea matatizo, wakati leo nimechomekea shati... naaibika ujue...🤣🤣🤣 Namshangaa huyo kibaka wa bandari.
Wwe wasemaKwahiyo ulikuwa unafurahia kugawana pesa za DHULMA?
Kusoma ni raha sana , sio kusoma soma tu hata laki kukaa ndani shughuli😂😂😂. Ni mtazamo tuNimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana huko Jersey au Switzerland kama yule mzee.
View attachment 1738385
nafikri huo ndo ule mfuko anazunguka nao raisi wa wanyonge kila aendako barabarani anawagawia wanyongeEeh 3.7 B, home?
Nadhani alikwepa mkono wa Sharia kuziweka bank
Mkuu hizo pesa kukutwa nazo nyumbani usishangae ni nyingi kwetu sie hohehae lakn kwao ni peanut.kwa dollar 100 bills hiyo pesa inakaa uzuri kabisa kwenye briefcase.
Pili inaweza kuwa pesa iliyokamatwa ni Ile tunaita ' Hamad kibindoni' Ile pesa inayoweza kumfaa wakati wa dharula.
Hiyo jamaa anaweza kuwa na pesa nyingi kwenye mabenki ya ndani na nje
hii nchi tumeliwa sana nasema uwongo ndugu zanguSwali la msingi ni kwanini Majaliwa katika uchunguzi wake, akawatumbua "vidagaa" na kumuacha "papa" Kakoko aendelee kutamba?
Ndiyo utambue kuwa enzi za Hayati Magufuli, nchi alikuwa ikiendeshwa kwa mtindo wa "double standards" wa hali ya juu sana!
kwenye kitengo cha utesaji kwa manyang'au kama hao wangeniweka mimi, wala sitahitaji kulipwa pesa yeyote ila ntahakikisha kiminyo nachotoa mpaka mkushi ananena kwa lughaHata kuzichembia tu chini, huyu inabidi abanwe kende ili ataje kiasi alichochota na kutudisha mara moja.
abinywe makende na plaisi aseme yoteHiyo pesa aliyokamatwa nayo Eng kakonko ni tone la ma bilioni aliyokuwa nayo akibinywa vizuri jamaa Ana nusu trioni
bado ni porojo eti?Kigogo/Chahali ha ha ha. Mtu anasema nimesoma mahali, kumbe porojo za kina Kigogo[emoji3][emoji3]