Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Nendeni kwa mkurugenzi wa nssf ana ATM card ya kutolea dolar nje ya nchi aliyopewa kutokana na lile jengo la karibu na mlimani city, yeye na mkurugenzi wa utumishi na alokuwa mkurugenzi uwekezaji.
Kigogo pachimbe hapo utapata credit nyingine
Duh

Ova
 
Heri enzi za JK zilipigwa zikaingia mtaani hawa kina jiwes and company zimepigwa hata mifupa inaishia juu kwa juu,wananchi uambulia harufu tu.
Uchumi wa Kati ni kwenye matumbo yao.
Kwahiyo ulikuwa unafurahia kugawana pesa za DHULMA?
 
Wanyonge mpoo? Nawasalimia tu
Najua hapa mtapita kama hamuoni 😂🤣
 
K

umbe,,,lakini hawa wa sasa siwalijipambanua kuwa wamekuja kuukomesha huo ujizi wa watu walio Pita?.Wao si walikuwa kwenye Wakati wa watakatifu,,kila jambo lao walikuwa wakimtanguliza Mungu?,,,Tujadili.Let we Be patient. Some things take time.

Hapo kwa kizungu hapo [emoji3][emoji3]
 
Who does that in this day and age?

He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.

Amateur hour.
We told you about your friend Jiwe , you didn't believe , now there's a proof beyond reasonable doubt he was not clean as he seemed to be , this man is one of his right hand best friend .
Screenshot_20210330-101941.png
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana huko Jersey au Switzerland kama yule mzee.

View attachment 1738385
Kusoma ni raha sana , sio kusoma soma tu hata laki kukaa ndani shughuli😂😂😂. Ni mtazamo tu
 
Mkuu hizo pesa kukutwa nazo nyumbani usishangae ni nyingi kwetu sie hohehae lakn kwao ni peanut.kwa dollar 100 bills hiyo pesa inakaa uzuri kabisa kwenye briefcase.

Pili inaweza kuwa pesa iliyokamatwa ni Ile tunaita ' Hamad kibindoni' Ile pesa inayoweza kumfaa wakati wa dharula.

Hiyo jamaa anaweza kuwa na pesa nyingi kwenye mabenki ya ndani na nje

Hata kama bado nakataa,tujipe muda tu tutakuja kufukua huu uzi hapa na watu watakosa cha kuongea. Tangu kesi ya Masamaki sitaki tena kuamini huu uvumi wa mitandaoni. Kushikiliwa ni swala jingine,but kukutwa na kiasi hicho cha pesa ni ngumu kuamini aisee.
 
yaani hapo hata ungemweka nani lazima tu aibe ni ngumu kukwepa vitanzi kwa mazingira yalivyo
sasa fikiria huyu alikuwa na mradi wa upanuzi wa bandari unategemea nini? achilia mbali mafuta na bidhaa zingine
 
Swali la msingi ni kwanini Majaliwa katika uchunguzi wake, akawatumbua "vidagaa" na kumuacha "papa" Kakoko aendelee kutamba?

Ndiyo utambue kuwa enzi za Hayati Magufuli, nchi alikuwa ikiendeshwa kwa mtindo wa "double standards" wa hali ya juu sana!
hii nchi tumeliwa sana nasema uwongo ndugu zangu
 
Hata kuzichembia tu chini, huyu inabidi abanwe kende ili ataje kiasi alichochota na kutudisha mara moja.
kwenye kitengo cha utesaji kwa manyang'au kama hao wangeniweka mimi, wala sitahitaji kulipwa pesa yeyote ila ntahakikisha kiminyo nachotoa mpaka mkushi ananena kwa lugha
 
Back
Top Bottom