Alitakiwa asiziibe [kama kweli aliziiba].Alitakiwa afanyaje kwa mfano? Let's assume ni kweli umekwapua 1.6mil usd, unafanyaje nazo?
Who does that in this day and age?
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.
Mbona kichwa chako kigumu Kama jiwe? Unaambiwa zimekutwa kwenye begi nyumbani, siyo bank kwenye account.Tutayaona na kusikia mengi awamu hii.
Ila BOT si wanazijua account za watu wenye mitonyo mirefu! Au alikua kaficha Bahamas!?
bado ni porojo eti?
Hivi hizo ni sawa sawa na shilingi ngapi za Kitanzania?
I don’t know all that.That's is cover up money. That is the money to cover up more money.
He may have more money hidden in some places.
Sio kwamba asifiwe kwa wizi.. ila asifiwe kwa utashi wa kutorosha $ 100 Million.. maana inaonekana kama ni mshamba kushikwa na burungutu la $1.6 MillionNimsifie kwa minajili gani sasa?
Got ya!Sio kwamba asifiwe kwa wizi.. ila asifiwe kwa utashi wa kutorosha $ 100 Million.. maana inaonekana kama ni mshamba kushikwa na burungutu la $1.6 Million
Hapana, PM aliwasimamisha kazi baadhi wa watumishi wa TPA kwa ubadhirifu huu. Nadhani PM aliogopa kugusa kisiki hiki, a.k.a mteule wa Rais a.k.a kipenzi chetu na kiongozi wa wanyonge. Hivyo Madam President alipokuwa anapokea report ya Sieigii juzi kati aliagiza Mkuu wa TPA asimame kazi na achunguzwe. Mara paap! 3.7Billion zikakutwa kwake, hii inaitwa red handed.Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!
sasa za nini zote hizo? uroho tuu mwisho wanakufa wanaziachaHiyo pesa aliyokamatwa nayo Eng kakonko ni tone la ma bilioni aliyokuwa nayo akibinywa vizuri jamaa Ana nusu trioni
Ilikuwa ni taarifa nzuri, lakini uliyoongeza ni kupotosha wasomaji. Nani alisema awamu ya tano imemaliza rushwa? Tulichokiona ni awamu hiyo kuchukia rushwa. Tuambie ni nani alipatikana na rushwa akavumiliwa? linganisha na awamu ya 4, tuliyoshuhudia rais akiwatetea wezi wa Escrow kwa kuwatumia wazee wa Dar!Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana huko Jersey au Switzerland kama yule mzee.
View attachment 1738385
Ninyi muliosema ni akina nani? Na muliwaambia akina nani?Haya yamefanyika katika utawala wa rais mzalendo. fyoko fyoko fyoko. tuliwaambia wanaiba mkatuona hamnazo
Who does that in this day and age?
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.
Yaani mijizi!Haya yamefanyika katika utawala wa rais mzalendo. fyoko fyoko fyoko. tuliwaambia wanaiba mkatuona hamnazo
Ni sawa tu, kuliko kufungwa!Sasa atasababisha wenzake wazimwage barabarani kwa kiwewe , maana wakiweka ndani moto wakipeleka benki hatari, watatembea nazo kwenye V8 mpaka wapagawe.
Naweka ndani nachimba shimo nasakafia na zege. Natoa ninazohitaji kila baada ya miaka miwili.Sasa atasababisha wenzake wazimwage barabarani kwa kiwewe , maana wakiweka ndani moto wakipeleka benki hatari, watatembea nazo kwenye V8 mpaka wapagawe.
Kukutwa na hizo pesa ni kujizalilisha na kumzalilisha marehemu.Bora angezitupa hata kwenye pit-latrine,akaziibukia baadae!Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha
UKweli ni kwamba waliosoma kokote walipo nchi hii wanahangaika usiku na mchana kutafuta nafasi ya wizi. Ni aibu kwamba ktk jambo hili tunalijadili kisiasa. Eti, hata wizi wa huyu ni wizi wa aliyemteua, inakuwa kwamba alisema nimemteua malaika.hapo bandarini sijui nini kifanyike wizi umekithiri sana.