Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Kuna watu wako kwenye denial ya hali ya juu humu, mara wanaquestion chanzo cha taarifa, which is good, mara wanasema jamaa ameiba kijinga, wengine ameiba kidogo. Nyie semeni msemavyo lakini sisi tuko hapa kuwakumbusha kuwa mlichokuwa mnakisifia zamani sivyo kilivyokuwa. Kwa kufahamu mliamua kutupotosha kwa kuwa mnahusika kwa namna moja au nyingine, au kwa ujinga mlikuwa fooled ama tu hamna lolote zaidi ya bendera fuata upepo.

Mkatutukana na kutuita majina, huku mkiendekeza ule uzalendo wenu feki wa kufoka foka na kuvaa bendera ya taifa. 😂 Mtu anayeminya uhuru wa habari toka lini akawa msafi!?

Tupe credible source mkuu.

Uchafu wa JPM haufanyi hii habari kuwa kweli. Hatuwezi amini kila kitu kama nyumbu kwa kisingizio cha eti JPM aliminya uhuru wa habari.

Wanasema, hata saa mbovu hupatia majira mara mbili kwa siku.
 
Sir, are you this slow? Mpaka sasa hujaipata credible source? Hata hivyo sisupport mtu kuamini tu habari bila kuhoji.
 
I am certainly slow, enlighten me please.
Whatever the case, his stupidity notwithstanding, the guy is innocent until proven guilty.

Ila kuna watu tayari washamhukumu!

Go figure.

Au labda keshapatikana na hatia ila mimi ndo sijui?

Halafu kukutwa na hela nyingi nyumbani wala si kosa.

Na yawezekana pia hizo hela zinazodaiwa kakutwa nazo ni za kwake kweli na ni halali.

I withhold my judgment until he’s proven guilty, if thus far he hasn’t.
 
Hata hivyo ni hatua ya kuonesha hakuna usafi wowote ule tuliokuwa tunaimbiwa. Kama atapatikana na hatia ya kufikishwa mahakamani, mahakamani itaamua. Mambo ya mahakama na yote ya kwa DPPP wote tunayafahamu.
Asante. binti kiziwi sikiliza mwenyewe mkuu wa TAKUKURU akikanusha kukutwa kwa pesa nyumbani kwa Mkurugenzi.
 
Hata hivyo ni hatua ya kuonesha hakuna usafi wowote ule tuliokuwa tunaimbiwa. Kama atapatikana na hatia ya kufikishwa mahakamani, mahakamani itaamua. Mambo ya mahakama na yote ya kwa DPPP wote tunayafahamu.

Well, that is a whole different ball game.

Huko tuache wafu wazikane wenyewe.
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana huko Jersey au Switzerland kama yule mzee.

View attachment 1738385
Jeez! Can you imagine, kuna watu kama hawa? Tanzania? Hii?
 
Wewe unaamini kweli kakutwa na hiyo pesa Cash ndani? Unakumbuka Masamaki wa TRuA na tulichoaminishwa hapa kukutwa na pesa kwenye ndoo ndani?
Thats a plot sidhani kama ni kweli mzee. Kwamba jamaa akutwe na hela kizembe😁
 
Back
Top Bottom