Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wako kwenye denial ya hali ya juu humu, mara wanaquestion chanzo cha taarifa, which is good, mara wanasema jamaa ameiba kijinga, wengine ameiba kidogo. Nyie semeni msemavyo lakini sisi tuko hapa kuwakumbusha kuwa mlichokuwa mnakisifia zamani sivyo kilivyokuwa. Kwa kufahamu mliamua kutupotosha kwa kuwa mnahusika kwa namna moja au nyingine, au kwa ujinga mlikuwa fooled ama tu hamna lolote zaidi ya bendera fuata upepo.
Mkatutukana na kutuita majina, huku mkiendekeza ule uzalendo wenu feki wa kufoka foka na kuvaa bendera ya taifa. 😂 Mtu anayeminya uhuru wa habari toka lini akawa msafi!?
Sir, are you this slow? Mpaka sasa hujaipata credible source? Hata hivyo sisupport mtu kuamini tu habari bila kuhoji.Tupe credible source mkuu.
Uchafu wa JPM haufanyi hii habari kuwa kweli. Hatuwezi amini kila kitu kama nyumbu kwa kisingizio cha eti JPM aliminya uhuru wa habari.
Wanasema, hata saa mbovu hupatia majira mara mbili kwa siku.
Sir, are you this slow? Mpaka sasa hujaipata credible source? Hata hivyo sisupport mtu kuamini tu habari bila kuhoji.
Whatever the case, his stupidity notwithstanding, the guy is innocent until proven guilty.I am certainly slow, enlighten me please.
Ndo hapo sasa!Haya yamefanyika katika utawala wa rais mzalendo. fyoko fyoko fyoko. tuliwaambia wanaiba mkatuona hamnazo
Asante. binti kiziwi sikiliza mwenyewe mkuu wa TAKUKURU akikanusha kukutwa kwa pesa nyumbani kwa Mkurugenzi.
Mi ningechimba kaburi mbele ya nyumba yangu... halafu nazisunda humo..Naweka ndani nachimba shimo nasakafia na zege. Natoa ninazohitaji kila baada ya miaka miwili.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Huyu msela hata mungu alimchoka,hiyo hela si inajenga shule tano kabisa na chenji kubaki? Wale kina Dotto wale nao sijuiAmazing, 1.6$ M cash?
Hata hivyo ni hatua ya kuonesha hakuna usafi wowote ule tuliokuwa tunaimbiwa. Kama atapatikana na hatia ya kufikishwa mahakamani, mahakamani itaamua. Mambo ya mahakama na yote ya kwa DPPP wote tunayafahamu.
HahaaaaAsante. binti kiziwi sikiliza mwenyewe mkuu wa TAKUKURU akikanusha kukutwa kwa pesa nyumbani kwa Mkurugenzi.
Jeez! Can you imagine, kuna watu kama hawa? Tanzania? Hii?Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana huko Jersey au Switzerland kama yule mzee.
View attachment 1738385
1.5 T..Kwa miaka 10 ,Shs 784bn ilipigwa,
kwa mwaka mmoja Shs15tn imepigwa!!!!. What a nasty!!!
Thats a plot sidhani kama ni kweli mzee. Kwamba jamaa akutwe na hela kizembe😁Wewe unaamini kweli kakutwa na hiyo pesa Cash ndani? Unakumbuka Masamaki wa TRuA na tulichoaminishwa hapa kukutwa na pesa kwenye ndoo ndani?
🤣 🤣 🤣 🤣 walie mpaka lini? Maana wengine bado hawajaamini kwa mba kuna chuma kipya ndani ya nyumbaWanyonge endeleeni kumlilia kipenzi chenu
Thats a plot sidhani kama ni kweli mzee. Kwamba jamaa akutwe na hela kizembe😁