Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Ni ajabu anawekwa mwizi kwenda kudhibiti wizi bora nikaburudike na traditional dance maana napata frustration tu

 
Who does that in this day and age?

He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.

Amateur hour.


That's is cover up money. That is the money to cover up more money.

He may have more money hidden in some places.
 
Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!
Hapana, PM aliwasimamisha kazi baadhi wa watumishi wa TPA kwa ubadhirifu huu. Nadhani PM aliogopa kugusa kisiki hiki, a.k.a mteule wa Rais a.k.a kipenzi chetu na kiongozi wa wanyonge. Hivyo Madam President alipokuwa anapokea report ya Sieigii juzi kati aliagiza Mkuu wa TPA asimame kazi na achunguzwe. Mara paap! 3.7Billion zikakutwa kwake, hii inaitwa red handed.
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana huko Jersey au Switzerland kama yule mzee.

View attachment 1738385
Ilikuwa ni taarifa nzuri, lakini uliyoongeza ni kupotosha wasomaji. Nani alisema awamu ya tano imemaliza rushwa? Tulichokiona ni awamu hiyo kuchukia rushwa. Tuambie ni nani alipatikana na rushwa akavumiliwa? linganisha na awamu ya 4, tuliyoshuhudia rais akiwatetea wezi wa Escrow kwa kuwatumia wazee wa Dar!

Huyu Mkurugenzi alishawekwa wazi na PM Majaliwa wiki za mwishoni hata kabla ya ugonjwa wa rais, nani alimtuma PM kwenda bandarini kuopambana na watendaji? Let's not be stupid to this extent!
 
Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha
Kukutwa na hizo pesa ni kujizalilisha na kumzalilisha marehemu.Bora angezitupa hata kwenye pit-latrine,akaziibukia baadae!
 
hapo bandarini sijui nini kifanyike wizi umekithiri sana.
UKweli ni kwamba waliosoma kokote walipo nchi hii wanahangaika usiku na mchana kutafuta nafasi ya wizi. Ni aibu kwamba ktk jambo hili tunalijadili kisiasa. Eti, hata wizi wa huyu ni wizi wa aliyemteua, inakuwa kwamba alisema nimemteua malaika.
Tunajisahau kwamba vyama vingine wanaoongoza kwa kulalama, hata kusema wizi wa viongozi wao ni kama blasphemy! Hata wakihisiwa tu wanasaidiwa kujitetea badala ya kuwalazimisha wajitetee.
 
Back
Top Bottom